Sun Zu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2022
- 636
- 1,819
#DRC: Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo linalosaidiwa na wapiganaji wa kundi la Wazalendo limefanikiwa kurejesha udhibiti wa baadhi ya maeneo yaliyochukuliwa na wapiganaji wa M23. Jana Jumatano, makundi hayo ya vijana Wazalendo wanaoungwa mkono na jeshi la serikali walichukua udhibiti wa mji muhimu wa Masisi, juma moja tu baada ya waasi wa M23 kuuteka.