Wana kikundi Cha migambo wajinga sana DRC,drc hawana jeshi.
rwanda inawasumbua nchi kubwa
Mombimba na ngai mwasi kitoko nakobelo moyombo zai zemba nangata shalooMokili mobimba mumasase mumasase hapa Masisi ni sebene ya Bilenge bilenge....
Ni aibu Drc kushindwa na wahuni wa M23 (hata kama Rwanda ipo nyuma yao).#DRC: Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo linalosaidiwa na wapiganaji wa kundi la Wazalendo limefanikiwa kurejesha udhibiti wa baadhi ya maeneo yaliyochukuliwa na wapiganaji wa M23. Jana Jumatano, makundi hayo ya vijana Wazalendo wanaoungwa mkono na jeshi la serikali walichukua udhibiti wa mji muhimu wa Masisi, juma moja tu baada ya waasi wa M23 kuuteka.
Kwa nini wamewafungia ? Toka lini ?DRC Congo imefungiwa na unoja wa mataifa kutoagiza silaha ndo maana wanateseka sana
Nakabasi ya papii zenga zenga mobimba na yose FDC na M23 mokii yangaiMombimba na ngai mwasi kitoko nakobelo moyombo zai zemba nangata shaloo
Doze Doze MayosoNakabasi ya papii zenga zenga mobimba na yose FDC na M23 mokii yangai
Vijana kazi Yao ni kukata viuno tu na kujichubua jeshi wataliweza wapi?Hili jeshi la Congo ni vichekesho
Na kujichubua 😀Vijana kazi Yao ni kukata viuno tu jeshi wataliweza wapi?