Jeshi la Congo linapigwa vibaya!

Jeshi la Congo linapigwa vibaya!

Mr Putin

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2019
Posts
515
Reaction score
520
M23 aisee ni shida! huko vitani wanatwanga na kwa jamii wanaonesha kitu inaitwa leadership kwa raia!.🤣🤣
 
Hii habari yako ukweli ni mdogo mno,yaani majeruhi wako chini ya watano umekuja na mbiu kwamba M23 ni moto?,serious ??
Ckutaka kuweka mavideo mengi ,but kwa sababu nimeona we ni mgumu wa kuelewa nakuwekea na hii hapa. au bado unabisha?👇
Baada ya kipigo na kukimbia raia wana watukana!🤣
 

Attachments

  • JacquesCIrumva_20230223__1628758590931496960_1_16287097399987200000.mp4
    4.5 MB
tamaa
usaliti
ujinga wa mwafrika
vimeiharibu nchi iliyokuwa njema sana
 
Leadership!
DRC wali fail siku walipo jiunga na yale makundi ili waue makabila fulani!.
sasa raia wanajiskia amani mikononi mwa M23!.🤣
 

Attachments

  • Dachronica_20230225__1629513259647655937_2_16295057484712591381.mp4
    829.7 KB
M23 aisee ni shida! huko vitani wanatwanga na kwa jamii wanaonesha kitu inaitwa leadership kwa raia!.🤣🤣
Hawana lolote hao na sera zao za ubaguzi wa kimbari. Watapigwa na kuangamizwa. Wanafikiri wao waliumbwa kutawala mbari zingine. Watutsi na dharau zao kwa wabantu lazima wapigwe na washindwe.
 
M23 aisee ni shida! huko vitani wanatwanga na kwa jamii wanaonesha kitu inaitwa leadership kwa raia!.[emoji1787][emoji1787]
Kama unavyofurahia mkiua watu ndivyo msianze kulia eti Genocide M23 wakitulia. Maana ni tendency sasa Watusti wakiuwawa mnaita Genocide wahutu na makabila mengine wakiuwawa unaita FDRL.

Kumbuka wakati Burundi ikishughulikia waliojaribu kupingua Serikali mliita Genocide. Hahaha
 
Back
Top Bottom