Jeshi la Congo linapigwa vibaya!

Jeshi la Congo linapigwa vibaya!

Ckutaka kuweka mavideo mengi ,but kwa sababu nimeona we ni mgumu wa kuelewa nakuwekea na hii hapa. au bado unabisha?👇
Baada ya kipigo na kukimbia raia wana watukana!🤣
Ardhi yao kijani na rotuba badala wajikite kwenye kilimo na ufugaji. Mungu kawapendelea kwasababu majirani zao kuna ukame.
 
Watutsi ni akili kubwa ndo mana wanawatawaka wahutu aka wabantu
Mkuu rudishiako basi haka kapicha kwenye avatar yako.
rampage_1510986968110.jpg
 
Please try to revisit you stories herein -wakati wote ni horror stories tu na kusifia waasi - hakuna popote unapoleta story zenye mizania - ni lawama tu zisizo kuwa na kichwa wala miguu - wakati mwingine nakuchukulia ni kama ni a paid mole uliye pandikizwa humu kwa lengo maalumu - sijawahi kukuona unashiriki kwenye topic nyingine zaidi ya kusifia so called M23 leadership quality na ujinga mwingine - yaani wewe masaa yote unawasifia sana waleta vurugu nchini Congo DRC, one more thing hizi latest photos na video clip nyingine za maiigizo tu hazina ukweli wowote, wewe hizi picha huwa unazipata pataje in advance - one may ask?? husitufanye wajinga.
Kama wewe unavyosifia vurugu za warusi pale ukraine acha na yeye apeleke moto wake kaa kwa kutulia kubwa jinga halafu kaweka na Avatar ya lejendari wako putin
 
Kama wewe unavyosifia vurugu za warusi pale ukraine acha na yeye apeleke moto wake kaa kwa kutulia kubwa jinga halafu kaweka na Avatar ya lejendari wako putin
Kitu cha kwanza majibu yako ni too childish - actually reading between the lines na wewe ni part and parcel ya watu ambao watakuja kutuletea balaa kubwa kwenye kanda ya maziwa makuu ni suala la muda tu.
 
P O L E
 
Back
Top Bottom