joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
-
- #201
Tanzania ni USA kwa EAC na Japan kwa ktk SADC, bila Tanzania uchumi wa Kenya unasambaratika "within one year".We don't "depend" haswa, sisi sio ldc, we BUY, nchi kama marekani na china wanajipendekeza tu na pia Russia, hatuwaombi watupe chakula, they only react to our free media reports. Ingekua janga linatokea Tanzania hamna uwezo wakujisaidia hataa kidogo! Hamuwezi peana donation anywhere!., your income isn't sufficient to meet your needs. Inabidii muuze mazao lakini bado haitoshi kuwatoa kutoka kwa uchochole, you need an industrial revolution ili mpone, la sivyo reports kama ya Multidimensional Poverty in a country ita wa aibisha kila mwaka!
Sent using Jamii Forums mobile app
Lini mlitoa kenyaTanzania ni USA kwa EAC na Japan kwa ktk SADC, bila Tanzania uchumi wa Kenya unasambaratika "within one year".
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakenya ni ronya sana hawana uwezo wowote ule,Namshauri Uhuru kenyata asikubali uonevu huu,aishambulie tu ETHIOPIA.Hii sio Mara ya kwanza au ya pili kwa jeshi la Ethiopia kuingia Kenya na kuua watu bila kukutana na jibu lolote toka KDF.
Serikali ya Kenya zaidi ya kulalamika Mara kwa Mara, hakuna hatua zozote inazochukua, jamba linaloifanya Ethiopia kuendeleza tabia yake ya kuvuka mpaka wa Kenya na kuuwa wakenya vile wapendavyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
TENA DHARAU KUBWA SANA,NI SAWA NA MWANAUME KUSHIKWA TAKO NAWE UKACHEKELEA TU,HUKU UKISEMA "TABIA MBAYA" HIYO NA SIO VIZURI,BADALA YA KURUSHA NGUMI NZITO YA CHEMBE.....😛Failed state ninyi, wakenya wanauliwa ndani ya ardhi ya Kenya, ninyi mnadhani ni sawa eti kwasababu wanapigana wenyewe kwa wenyewe, kitendo cha wao kuvuka mpaka na kuingia Kenya, ni dharau sana kwa KDF, kwasababu wanajua huko Kenya hakuna jeshi imara la kuwafukuza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiwe na akili kichwani kama mfano. Soma uelewe, usipayuke kama kondoo tuTENA DHARAU KUBWA SANA,NI SAWA NA MWANAUME KUSHIKWA TAKO NAWE UKACHEKELEA TU,HUKU UKISEMA "TABIA MBAYA" HIYO NA SIO VIZURI,BADALA YA KURUSHA NGUMI NZITO YA CHEMBE.....😛
Uko sahihi. Osama sio muarabu kamili. Lakini umekosea mahali. Babake alitokea Yemen. Nimesoma kwenye Wikipedia
Wivu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]