joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
- #201
Tanzania ni USA kwa EAC na Japan kwa ktk SADC, bila Tanzania uchumi wa Kenya unasambaratika "within one year".We don't "depend" haswa, sisi sio ldc, we BUY, nchi kama marekani na china wanajipendekeza tu na pia Russia, hatuwaombi watupe chakula, they only react to our free media reports. Ingekua janga linatokea Tanzania hamna uwezo wakujisaidia hataa kidogo! Hamuwezi peana donation anywhere!., your income isn't sufficient to meet your needs. Inabidii muuze mazao lakini bado haitoshi kuwatoa kutoka kwa uchochole, you need an industrial revolution ili mpone, la sivyo reports kama ya Multidimensional Poverty in a country ita wa aibisha kila mwaka!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app