US wananza bembeleza serekali ya Lebanon kuhusu ceasefire kwanza walimkataza Israel walidhani watashinda. Mimi nilisema hapa mkiona vyama vya Lebanon vinanza kuongea kuhusu ceasefire ujuwe Israel kaishiwa. Wanataka kumuokoa Kwanza Hezbullah alivyo kubali ceasefire walio poroposed wao wakajua Hezbullah anatafuta kusimamisha vita kazidiwa wakakataa. US akasema kwa sasa hakuna haja ya ceasefire 😄
Sa mbona mnanza tena bembeleza serekali ya Lebanon vita visimame? Hio serekali ya Lebanon mafala sana wakikubali kusimamisha vita. Bora waseme wacheni tuone mwisho wa Hezbullah sisi tunataka muimalize Hezbullah si US na Israel mna nguvu sisi hatumuwezi Hezbullah.
US anataka kumuokoa Israel yuko hatarini anapokea kichapo si cha kawaida sasa. Kuingia Lebanon kashindwa, Missiles zinashuka Haifa, Safed, Acre na Tela Aviv kama mvua.