Jeshi la IDF laagiza wakazi vijiji 22 kuhama mara moja makazi yao Lebanon kusini

Wavaa kobazi mna laana! Ile minyoo mnayosoma imeweka kutu akilini mwenu!! Si nyie mnaoshabikia Hezbolah ikirusha fataki Israel?
 
Kwa hamas ulisema hivi hivi.Hao unaowaita mazayuni wanawanyoa hizbullah kwa chupa.Kituo kinachofuata ni Tehran.
Mwezi huu ukiisha kabla Ayatollah hajasindikizwa kwenye mito ya konyagi huku akitafuna mbususu za mabikra niite mbwa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ konyagi tena mkuu.. kwan Ayatolah anagonga nyagi?
 
Hasira za kichapo wanachochezea wiki nzima hii.

Watu wataondoka na maayuni kubamizwa kwa kunyofolewa kidogo kidogo watabamizwa tu, mpaka Tel Aviv.

Ujanja umewaishia.
Gaza unayoiiita Ghaza ulisema hiyo misemo... acha na Allah muongo
 
Hezbolla ni kikundi cha mgambo tu. Siyo nchi yenye jeshi lake.

Usisahau hilo, vita vyao wanapigana tofauti na unavyofikiria wewe, ki hollywood.
Ni ruhusa kuunda kikundi cha mgambo kwenye nchi huru? and unaamua vita na nchi jirani? kuna muarab anaitwa Mohaman Hijab aliulizwa na P. Morgan kuwa Hezbollah ni freedom fighter au kikundi cha nini wakati Lebanon ina jeshi lake.. akasema hawezi semea ila haikubali Hezbollah
 
Hasira za kichapo wanachochezea wiki nzima hii.

Watu wataondoka na maayuni kubamizwa kwa kunyofolewa kidogo kidogo watabamizwa tu, mpaka Tel Aviv.

Ujanja umewaishia.
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Mkuu, hivi unajua unachokiandika?

Kwani hii ni vita ya Israel na serikali ya Lebanon au Hezbollah? Tangu vita ianze umeona jeshi la Lebanon likipambana na IDF? Serikali ya Lebanon iombwe ceasefire kwa lipi wakati haipigani na yeyote?
 
Hezbolla ni kikundi cha mgambo tu. Siyo nchi yenye jeshi lake.

Usisahau hilo, vita vyao wanapigana tofauti na unavyofikiria wewe, ki hollywood.
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Kobaz Iko shida kichwani!
 
Mkuu, hivi unajua unachokiandika?

Kwani hii ni vita ya Israel na serikali ya Lebanon au Hezbollah? Tangu vita ianze umeona jeshi la Lebanon likipambana na IDF? Serikali ya Lebanon iombwe ceasefire kwa lipi wakati haipigani na yeyote?
Unadhani wanaokufa kule ni wananchi wa Bariadi?
 
Hezbollah wamepoteza askari wengi pia , mawasiliano Yao yakususua sua ndo maana inaonekana wanashidwa mapigano.
Kwenye vita mawasiliano ni muhimu sana
Wamepotezaje mawasiliano wakati wanaendelea kurusha makombora Israel kwenye vituo vya kijeshi?
Hezibollah bado iko imara!
 
Hezbollah wamepoteza askari wengi pia , mawasiliano Yao yakususua sua ndo maana inaonekana wanashidwa mapigano.
Kwenye vita mawasiliano ni muhimu sana
Swali langu lilikuwa jepesi sana, jikumbushe:

"... umeyasikiliza majibu yake?"
 
Hasira za kichapo wanachochezea wiki nzima hii.

Watu wataondoka na maayuni kubamizwa kwa kunyofolewa kidogo kidogo watabamizwa tu, mpaka Tel Aviv.

Ujanja umewaishia.
God Bless Israel.

Kichapo cha wiki moja wakati we umetembezewa kichapo mwaka mzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…