Jeshi la IDF ladai kumuua Muhammad Kamei Naim, kamanda wa kikosi cha askari wa Hezbollah kinachosimamia makombora ya kulipua vifaru

Jeshi la IDF ladai kumuua Muhammad Kamei Naim, kamanda wa kikosi cha askari wa Hezbollah kinachosimamia makombora ya kulipua vifaru

Mkuu wa jeshi la israel yupo hai hata hana mchubuko jana kobazi wanapongezana na kumshukuru Allah eti wamemuua Herzi Halev leo Idf imemuonyesha yupo mzima tena kabeba mashine yake anawaongoza makomando wa idf
Sasa,kobazi huwaambii kitu.katika ulimwengu wao kashakufa,na Netanyahu nae kashakufa bada ya Hezbollah kushambulia ndege yake.
 
Hiyo video imeonekana na haina uthibitisho kama ni ya jana au leo acha propaganda za kijinga.

Sababu kuu ya hio video kua ni ya uongo ni hizi
Video haijaonesha sehemu yoyote ilio athirika jana.

Video haijonesha eneo ambalo shambulizi lilifanyika.

Haya thibitisha wewe sasa kama ni video mpya kweli.
Wewe lete video ya maiti yake Ili tukuamini
 
Yuko wapi huyo kamanda tuone hata maiti Yake tu maana Muyahudi akikwambia sahizi ni usiku inabidi utoke nje ukathibitishe hakuna watu waongo duniani kama hao jamaa
Umesema uwongo. Wayahudi, hata mara moja hawasemi uwongo juu ya waliowaua au askari wao wanapouawa. Tena huwa wanataja mpaka majina yao. Kuna wakati, wanapoua, huwa wanakaa kimya, hawasemi kama ni wao wameua au siyo wao, lakini hata mara moja hawajawahi kusema uwongo.

Kama unaamini huwa wanasema uwongo, ebu leta uthibitisho.
 
Nimeomba hapa picha ya maiti ya huyu kamanda aliyeuwawa wa Hezbollah naona unaniletea mipasho tu hapa.
 
Na kawakamata mapunguani wengi hahahaha mpaka leo wanaamini alipigana vita siku 3 na waarabu wote akashindq😀

Kwa hiyo bila yeye makombora hawezi kurushwa tena Israel😀
Kila siku Israel anachezea kichapo kutoka kwa Hezbollah licha ya kutangaza kuuwa makamanda sasa najiuliza hii ya kuuwa makamanda ambao hawaonekani Wala hakuna ushahidi inawasaidia Nini?😂
 
Back
Top Bottom