Spendi sana kukukosea adabu cause siku lelewa hivo utotoni mwangu; sina tabia ya kutukana watu but naweza kukupa elimu kidogo just in case you don't know. Fuatana nami, unaweza kupata kijielimu kidogo.
Vita vya mashariki ya kati vina ushabiki wa kimaslahi, kidini nk; kama humu tu tulivo, Waislam wengi watamponda Israel na kumuona kiumbe katiri sana na Wakristo nao watasema lugha tofauti kuwahusu Waarabu, mifano ipo mingi, hata wewe pia unaweza kua na upande na SIO dhambi; haya ya humu ndio na duniani kuko hivo hivo; nitakukumbusha kidogo. France na Spain wanao urafiki wa karibu sana na mataifa ya kiarabu for years; Ayatollah huyu wa Iran wa sasa na yule aliyefariki miaka ya 80 mwishoni pamoja na aliyekua rais wa Iran wa wakati huo na ile cabinet yao almost yote, walikuja kupindua serikali ya bwana Shah wakitokea Ufaransa, Ufaransa ana maslahi makubwa na Iran na Iraq as well. Baada ya vita vya Iraq na Iran kuisha mwaka 1988, France aliwekeza sana Iran, baada ya vita vya Iraq ya Sadam Hussein na USA plus nchi 29 za ulaya including France, Spain (sina hakika kama ulikua umezaliwa, it was February 1990 ) France again aliwekeza sana kwq Iraq as well, unaikumbuka vita iliomuondoa Sadam Hussein miaka 2000 ya bwana George W. Bush Jr? France alipingana na USA, France anafanya nao biashara Iran na Iraq for some decades, France na Spain ni mapacha kwa eneo hilo. Unajua hata mgogoro wa Russia na Ukraine kidogo ubomoe uhusiano wa France na mataifa ya ulaya? France anaona kama USA inawatawala ulaya. So comment za France na Spain kuhusu mgogoro wa middle east sio lazima waonge ukweli, maslahi yanaweza kutawala zaidi kuliko facts, now sijasema kama Israel kasema ukweli na France ni muongo, just wanted to tell u kwamba hao nao wana comment kwa mitazamo ya kishabiki kama sisi tu humu. Nilicho kisema ni hiki (based on history) mara zote magaidi huaga wanatumia wanawake, watoto na hata public areas kama shield. Kafanya hivo Iran miaka 80 wakati anapigana na Iraq, Sadam Hussein kafanya sana hivo wakati anaondolewa kwa nguvu Kuwait, Boko Haram wamefanya sana hivo Nigeria same as Hamas, Hezbollah, sio jambo jipya