Jeshi la Israel IDF lafichua handaki jipya la Hezbollah lililochimimbwa chini ya makao makuu ya majeshi ya Umoja Wa Mataifa (UNFIL)

Ona bumunda mwingine huyu anaropokwa!!
Kwahiyo France na Spain wao ni wapuuzi kukataa madai ya Israel!?
Ila wewe una akili kuliko France na Spain!??

Yani jumuiya ya kimataifa iache eneo lake litumike tofauti!?
Akili yako inafanya kazi!?
Israel ilimuua French embassy official,je katika nyumba yake nako kulikua na Hamas!??
 
Bumunda kweli huyu.
Watu wengine akili zao sijui zinafikiria kwa namna gani!?
Yani UNIFIL iwe na mahandaki ya kujifichia Hizbollah!??
Mpuuzi huyu.
We zingwi zingwi limbukeni ulimwengu uko wapi!

Umeambiwa ni mita chache kutoka UNFIL Hadi kwenye handaki Hilo.
 
Hizi ni story zile zile za uwongo kama za Gaza
 

Attachments

  • Screenshot_2024-10-15-16-12-32-765.jpg
    457.1 KB · Views: 2
Wendawazimu wanaongezeka kwa kasi sana duniani.
 
נוצרת עם הרבה בורות, אתה מת תוך כדי עידוד לא לפחד שגם כשאתה מת יש נהרות של אלכוהול ובתולים 72
notzrat im harva burot, ata met toch kadi idud le lepachad shgam kshe'ata met yesh neharot shel alcohol uvatolim 72
 
We zingwi zingwi limbukeni ulimwengu uko wapi!

Umeambiwa ni mita chache kutoka UNFIL Hadi kwenye handaki Hilo.
Una uhakika yale ni mahandaki ya Hizbollah??
Au hukuelewa nilichoongea!?
Video inaonesha milango miwili ya mahandaki.
Picha ulizoleta wewe zilionesha ndani ya handaki na mlango wa blue,je vinawiana!?
Pia kwa akili zako una uhakika hilo ni handaki la Hizbollah!?
Yani handaki fupi kama hilo!?
Ona hii mburukenge.
 
Spendi sana kukukosea adabu cause siku lelewa hivo utotoni mwangu; sina tabia ya kutukana watu but naweza kukupa elimu kidogo just in case you don't know. Fuatana nami, unaweza kupata kijielimu kidogo.
Vita vya mashariki ya kati vina ushabiki wa kimaslahi, kidini nk; kama humu tu tulivo, Waislam wengi watamponda Israel na kumuona kiumbe katiri sana na Wakristo nao watasema lugha tofauti kuwahusu Waarabu, mifano ipo mingi, hata wewe pia unaweza kua na upande na SIO dhambi; haya ya humu ndio na duniani kuko hivo hivo; nitakukumbusha kidogo. France na Spain wanao urafiki wa karibu sana na mataifa ya kiarabu for years; Ayatollah huyu wa Iran wa sasa na yule aliyefariki miaka ya 80 mwishoni pamoja na aliyekua rais wa Iran wa wakati huo na ile cabinet yao almost yote, walikuja kupindua serikali ya bwana Shah wakitokea Ufaransa, Ufaransa ana maslahi makubwa na Iran na Iraq as well. Baada ya vita vya Iraq na Iran kuisha mwaka 1988, France aliwekeza sana Iran, baada ya vita vya Iraq ya Sadam Hussein na USA plus nchi 29 za ulaya including France, Spain (sina hakika kama ulikua umezaliwa, it was February 1990 ) France again aliwekeza sana kwq Iraq as well, unaikumbuka vita iliomuondoa Sadam Hussein miaka 2000 ya bwana George W. Bush Jr? France alipingana na USA, France anafanya nao biashara Iran na Iraq for some decades, France na Spain ni mapacha kwa eneo hilo. Unajua hata mgogoro wa Russia na Ukraine kidogo ubomoe uhusiano wa France na mataifa ya ulaya? France anaona kama USA inawatawala ulaya. So comment za France na Spain kuhusu mgogoro wa middle east sio lazima waonge ukweli, maslahi yanaweza kutawala zaidi kuliko facts, now sijasema kama Israel kasema ukweli na France ni muongo, just wanted to tell u kwamba hao nao wana comment kwa mitazamo ya kishabiki kama sisi tu humu. Nilicho kisema ni hiki (based on history) mara zote magaidi huaga wanatumia wanawake, watoto na hata public areas kama shield. Kafanya hivo Iran miaka 80 wakati anapigana na Iraq, Sadam Hussein kafanya sana hivo wakati anaondolewa kwa nguvu Kuwait, Boko Haram wamefanya sana hivo Nigeria same as Hamas, Hezbollah, sio jambo jipya
 
hata wewe umewashtuki...wazayuni wa nangwanda sijaona watakujia juu kama umewatia kidole cha macho
 
Yote unayoyaeleza mimi nayafahamu kuliko ujuavyo wewe.
Hiyo hiyo Israel nayo ilishiriki kwenye kumpindua huyo Mohammed Shah 1979 na hata Israel ilimsaidia Iran kisilaha vita ya Iran-Iraq war 1980-1988.
Ila kumbuka hizo ni geopolitics hubadilika.
USA ndiye mlezi wa Israel na ana benefits kubwa kwa Israel.
Usidhani kuwa zile mutual interests zitabaki vile vile aisee.
Pia hapa tunaizungumzia UN ambayo ina comprise mataifa zaidi ya 130.
Na hata hilo jeshi la UNIFIL liliwekwa baada ya vita ya 2006 ya Israel-Lebanese war.
Na hiyo proposal aliileta USA ya kuweka jeshi hapo.
Na kuna mataifa zaidi ya sita au saba yalopeleka jeshi kulinda amani ambayo yote anaya monitor USA.
Sasa wewe unakuja kuchanganya masuala ya UN pamoja na masuala ya France na Spain geopolitical interests ambazo zilishakwisha tokea miaka ya 2010s.
*Nimesahau kuhusu Hamas,Hamas haijawahi kutumia raia kama shield.
Na uchunguzi ulifanyika na ikajulikana ni uongo.
Hamas mahandaki yao yako mbali na raia.
Na katika mashambulizi yanayofanyika huishia kuua wanawake na watoto na wazee ila hizo sehemu wanazodai kuna silaha ama Hamas haukuti Hamas wala silaha hata moja.
Hii mzee umeenda fyongo.
*Hizbollah ina kambi za jeshi ambazo ziko nyuma ya safu za milima ya Jubeir na mpakani na Israel.
Pia inatumia kambi za jeshi kuu la Lebanon.
Hiyo haina presence yeyote kwa raia.
Hapa napo umeenda kombo bro.
*Kuhusu Iraq nenda kamfuatilie JULIAN ASSANGE alivyotoa ushahidi wa uongo wa USA kusingizia Saddam kutumia raia kama human shield na mauaji ya makusudi aliyofanya kwa raia wa Iraq na waandishi wa habari.
Nenda kamfuatilie.
Inaonekana bro unameza propaganda.
 
I thought ungekua consistent na mazungumzo yetu, unahama hama sana; sasa imekua UN tena? Unakumbuka uliinita BUMUNDA kwa kusema eti mi najua zaidi kuliko Ufaransa na Spain? Baada ya kukuletea facts za Kihistoria unabadiri topic; anyway tuendelee na mjadara
 
Nipo consitent na wala sijahama mada.
France na Spain waliongea kwa munajili wa UN.
Walisema hawakubaliani na suala la Israel kutaka UNIFIL iondoke Lebanon.
Sasa hapo wapi nimehama mada!?
Na wala sio hao tu,kuna viongozi wengine wamelipinga hilo na wamelaani Israel kushambulia UNIFIL kwa munajili wa UN.
 
Waongo tu hao, wanaipakazia UN.
 

Ungekuwa kwenye uwanja wa vita usingeongea upuuzi huu.

Dunia mzima inawapigia kelele IDF waache kuangamiza watu lebanon na gaza afu wewe unaleta ushabiki usio na msingi hapa.


Wakati hao viongozi wanatoa matamko hayo wakiwa kwenye mahandaki waumiao ni wapiganaji walioko mstari wa mbele na wananchi wa kawaida.


Kinachoendelea Gaza na Lebanon ni ukatili wa kiwango kikubwa, Kama hawa viongozi wa kiarabu wanafanya haya kwa kupigania dini basi wako totally wrong, ifike muda huu upuuzi uishe na Dunia iwe sehemu salama kuishi, kushabikia vita ni upuuzi.
 
German Chancellor Olaf Scholz: "We have delivered weapon shipments to Israel and will send more in the future."
 
Kwamba Israel alikua akimsaidia Iran silaha wakati anapigana na Iraq? You must be kidding yourself bro. Hivi unajua chanzo cha ule mgogoro? Ukikijua then hutaweza kusema mbele za watu kwamba eti Israel aliisaidia Iran silaha ili apigane na Iraq.
Ikibidi nitakukumbusha why majirani wale walipigana. Si google; nilikua kijana, nilikua nina akili; nakumbuka vizuri sana, na nakumbuka pia why vita ile iliisha bila kupinduana, Iran ilibaki na regime yake same as Iraq Saddam Hussein aliendelea kua rais wa Iraq
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…