FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,246 Reaction score 123,145 Oct 14, 2024 #21 Bulelaa said: Licha kwamba wanakuwa wanauliwa maelfu kwa maelfu? Click to expand... Maelfu tu? Malaki na mamilioni sasa, zaidi ya miaka 75. Sasa hivi ndiyo afadhali kwa kuwa na wao wanajitutumuwa, walikuwa wanauliwa na kuburuzwa kama kuku tu.
Bulelaa said: Licha kwamba wanakuwa wanauliwa maelfu kwa maelfu? Click to expand... Maelfu tu? Malaki na mamilioni sasa, zaidi ya miaka 75. Sasa hivi ndiyo afadhali kwa kuwa na wao wanajitutumuwa, walikuwa wanauliwa na kuburuzwa kama kuku tu.