Jeshi la Israel lafanya mashambulizi makubwa huko nchini Yemen na kusambaratisha kinu cha kuzalisha umeme na bandari

Hadi mtaita maji ma! Tulishawaambia kabla ujio wenu na huyo mungu wenu kulikua na miungu mingine ilijaribu kufuta Wayahudi na ikashindwa, Wafilisti walikua na wao aliitwa Baal, sasa huyu wenu wa juzi naye atashindwa vivi hivi.
Kulikuwa na dagon ambaue yeye alipiga magoti kwa Mungu wa Israel. Sasa ni zamu ya mungu wa kikuresh kupelekewa moto.

Hawa wajahidina ni vyema watafute amani na maisha mengine yaendelee.
 
Acha watandikane tu, wamechagua vita kama njia ya kuoneshana ubabe...
 
Hadi mtaita maji ma! Tulishawaambia kabla ujio wenu na huyo mungu wenu kulikua na miungu mingine ilijaribu kufuta Wayahudi na ikashindwa, Wafilisti walikua na wao aliitwa Baal, sasa huyu wenu wa juzi naye atashindwa vivi hivi.
Eti huyu wa juzi! Mungu wa juzi; teh!
 
Dah!...raia wa Yemen wameingizwa kwenye vita visivyowahusu na nchi yao inalipia gharama hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…