Right Way In Light
JF-Expert Member
- Jul 27, 2024
- 1,322
- 3,461
Lakin inaweza kukupa wazo zuri juu ya kile unachoweza kuwa unapitiaHaichukui umuhimu wa daktari..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakin inaweza kukupa wazo zuri juu ya kile unachoweza kuwa unapitiaHaichukui umuhimu wa daktari..
Watakua kwenye kikao wanajadili hatua za kuchukua
Sasa hapa unaweza kuta kichwa kibovu Putin akachukua hatua ila wasi concerntrate naye..unaweza shangaaa akawashika mkono Iran na wao wakapiga kitu Jerusalem.Nchi za magharibi zimeamua kumaliza mgogoro wa mashariki ya kati haraka haraka ili kusudi waendelee na Russia na Ukraine.
Wanahitaji ku concentrate na Russia.
Migogoro ya ME ni kama ilikuwa mzigo kwao, ngoja wautue kwanza.
Endeleen na maandiko yenu ya kipuuzi na kijinga jinga kama haya.Muislam yeyote yule anayekufa akitetea mali yake ni shahidi, anayekufa akitetea maisha yake ni shahidi, anayekufa akitetea imani yake ni shahidi, na anayekufa akitetea familia yake ni shahidi." — (Sahih Muslim, Hadith 141)
Katika Uislamu, kufa katika jihad (juhudi au jitihada kwa ajili ya Allah) kunachukuliwa kuwa na malipo makubwa katika Akhera (maisha ya baada ya kifo). Katika Quran, Allah anazungumzia kwa uzito na ahadi kubwa kwa wale wanaopigana katika njia Yake.Endeleen na maandiko yenu ya kipuuzi na kijinga jinga kama haya.
Full kuchocheana ujinga ujinga. Kwenu amani inawa washa washa mnoo hamtulii mkiona watu wanaishi kwa utulivu, hilo likitabu lenu lina mashetan gani lakin kila sikuu kuwachochea kumwaga damu tuu?????
Hiki ndicho kinafanya watu wanakufa hovyo kama kuku...Muislam yeyote yule anayekufa akitetea mali yake ni shahidi, anayekufa akitetea maisha yake ni shahidi, anayekufa akitetea imani yake ni shahidi, na anayekufa akitetea familia yake ni shahidi." — (Sahih Muslim, Hadith 141)
Unamkumbuka pia mungu Dagon wa Wafilisti enzi hizo, kisa cha Dagon na Sanduku la Agano unakikumbuka?Hadi mtaita maji ma! Tulishawaambia kabla ujio wenu na huyo mungu wenu kulikua na miungu mingine ilijaribu kufuta Wayahudi na ikashindwa, Wafilisti walikua na wao aliitwa Baal, sasa huyu wenu wa juzi naye atashindwa vivi hivi.
Idiot fools kama na akil zenu mnakamatwa na maujinga kama haya..shule zinawasaidia nini sasa kama hesabu ndoogo kama hiz mnashindwa kuzisanukiaKatika Uislamu, kufa katika jihad (juhudi au jitihada kwa ajili ya Allah) kunachukuliwa kuwa na malipo makubwa katika Akhera (maisha ya baada ya kifo). Katika Quran, Allah anazungumzia kwa uzito na ahadi kubwa kwa wale wanaopigana katika njia Yake.
Miongoni mwa aya zinazozungumzia kuhusu faida ya kufa katika jihad ni:
Hizi aya zinaonyesha kuwa wale wanaokufa wakiwa katika jihad kwa ajili ya Allah wanapata malipo makubwa, ikiwa ni pamoja na Pepo na riziki kutoka kwa Allah. Pia wanachukuliwa kuwa wamefuzu na kupokea ahadi kubwa kutoka kwa Allah kwa sababu ya kujitolea kwao.
- Surat At-Tawba 9:111:
"Hakika Mwenyezi Mungu amenunua kwa Waumini nafsi zao na mali zao kwa kuwa wao watapata Pepo. Wanapigana katika Njia ya Mwenyezi Mungu, wanaua na wanauawa. Hii ni ahadi ya kweli katika Taurati, Injili na Qur’ani. Na nani atimizaye agano kuliko Mwenyezi Mungu? Basi furahini kwa biashara yenu mliyo fanya naye. Na huko ndiko kufuzu kukubwa."- Surat Ali Imran 3:169:
"Wala usidhani walio uawa katika Njia ya Mwenyezi Mungu kuwa wamekufa, bali wao wako hai, wanaruzukiwa kwa Mola wao."
Walishindwa Kwa Ndugu Yao YESU...Kuna watu tukisema Wayahudi siyo watu wa kawaida wanatudharauu na kutusema vibaaya utadhani sisi tunapenda wawe hivyo yaani!
Watuelewe kabisa yaani, sisi hatupendi wawe hivyo, ila ishatokea utafanyaje?
Israel = Israil = mtoa roho!
Bado mtu unataka kuchokoza watu aina ile..?
Hata bangi za dini kwa wale watu lazima zikutoke tu
Hadithi kutoka Sahih al-Bukhari:Idiot fools kama na akil zenu mnakamatwa na maujinga kama haya..shule zinawasaidia nini sasa kama hesabu ndoogo kama hiz mnashindwa kuzisanukia
Pole sana..Hadithi kutoka Sahih al-Bukhari:
Mtume Muhammad (SAW) amesema:
"Hakika mtu anayekufa akiwa shahidi (katika jihad) ana mambo saba ya malipo: atasamehewa dhambi zake tangu damu yake ya kwanza itakapoanguka, ataonyeshwa nafasi yake Peponi, atahifadhiwa na adhabu ya kaburi, ataepushwa na hofu kuu ya siku ya Kiyama, atawekwa taji la heshima kichwani, ambalo litaangaza zaidi ya nuru ya jua, ataozeshwa wake wa hurul-ain (wake wa Peponi), na ataweza kuwaombea jamaa zake sabini (70) wa karibu."
— (Sahih al-Bukhari, Hadith 2790)
Wapaka wanjaKipindi hiki wavaa kobazi ni mwendo wa ngono tu huko peponi, Allah atakuwa bize sana hizi siku mbili tatu kuwagawia mabikra akina Nasrallah na wenzake.
Sidhani kama Allah atakuwa hata na Muda wa kusikiliza maombi ya wafuasi wake😂😂
🇾🇪🇮🇱⚡Nasreddin Amer, a senior Ansarullah official, announced on his Twitter account:Hadi mtaita maji ma! Tulishawaambia kabla ujio wenu na huyo mungu wenu kulikua na miungu mingine ilijaribu kufuta Wayahudi na ikashindwa, Wafilisti walikua na wao aliitwa Baal, sasa huyu wenu wa juzi naye atashindwa vivi hivi.
Ndio maana wanafanya hizi mission kwa siri sana huku Israel imewekwa front page...Sasa hapa unaweza kuta kichwa kibovu Putin akachukua hatua ila wasi concerntrate naye..unaweza shangaaa akawashika mkono Iran na wao wakapiga kitu Jerusalem.
Ww3 hii hapa