gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 3,915
- 6,272
Naona umechukia sana,au lugha imekushinda?Huyu nae ndio kiongozi wa kutegemewa kwa akili hizi !!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona umechukia sana,au lugha imekushinda?Huyu nae ndio kiongozi wa kutegemewa kwa akili hizi !!
Kwa sisi tuishio vijijini hivi kupididy ndo nn?,..Muongozo pliz😉😉!Ndio sijakataa, makafiri ndio tuna wa pididy saa hii, akil ziwakae sawa
Bila kumsahau netanyau alishaapa magaid yote atayawahisha jehanamu wakapambe na bikra 72 na kuogelea kwenye mito ya pombeNamkubali sana Putin. Alisema kazi yake ni kuwawahisha magaid kwa Mungu.
Shahidi wa nini sasa?Muislam yeyote yule anayekufa akitetea mali yake ni shahidi, anayekufa akitetea maisha yake ni shahidi, anayekufa akitetea imani yake ni shahidi, na anayekufa akitetea familia yake ni shahidi." — (Sahih Muslim, Hadith 141)
Kwani mungu wapi ni yupi ??Walimuua mungu yupi?
Aya maneno uwa ni ya kitoto sana wewe hii vita unafaidika nayo vipi kama ni mambo ya Udini kwanini usikemee waafrika wenzio wanauana hapo SUDANHamna target alizo pata Al Houth walisha hamisha mafuta, na kupiga umeme yeye kapigiwa huko Asqalan pia sa ajabu ipo wapi. Kitu muhimu Yemen hajawahi kushindwa vita mtalipata jibu karibuni.
Kule Lebanon kulikuwa na body guard mmoja ndio alikuwa anauza siri kwa pesa tena body guard wa Nasurlah, na kuna Jasusi wa Iran anatafutwa. Bada ya hapo Israel atachezea kichapo. Huyu kiongozi wa Sasa Seif Al Din atavunja majumba ya Israel watamkumbuka Nasurlah alikuwa ana imani hukutaka wapigwe civilian. Leo walijidai kuingiza ground force wamekipata sidhani kama watasubutu tena
Ndo useme weweKwani mungu wapi ni yupi ??
Huwezi kuitua middle east hata siku moja hilo wanajidanganya tatizo wao wanakimbia mita mia wenzao kina houth wanakimbia marathon hivyo kiuchumi Israel ijiangalia sana litakua taifa la kupewa tu kutoka ulaya na Marekani. Hizi mbwembwe wala houth hakua na interest nae aache uonevu kwa raia wa gaza uone nani atamsumbuaNchi za magharibi zimeamua kumaliza mgogoro wa mashariki ya kati haraka haraka ili kusudi waendelee na Russia na Ukraine.
Wanahitaji ku concentrate na Russia.
Migogoro ya ME ni kama ilikuwa mzigo kwao, ngoja wautue kwanza.
Hakuna madhara yeyote yaliyotokea.Kosugi upo wapi ww mhouthi
Ngoja tuone..Huwezi kuitua middle east hata siku moja hilo wanajidanganya tatizo wao wanakimbia mita mia wenzao kina houth wanakimbia marathon hivyo kiuchumi Israel ijiangalia sana litakua taifa la kupewa tu kutoka ulaya na Marekani. Hizi mbwembwe wala houth hakua na interest nae aache uonevu kwa raia wa gaza uone nani atamsumbua
Hakuna maafa yeyote wala kifo wala majeruhi.Wadau hamjamboni nyote?
Haipoi hadi ipoe
Moto na moshi vimeonekana vikiongezeka kwa mbali katika video iliyorekodiwa Yemen kufuatia shambulio la Israeli kwenye bandari ya Hodeidah inayodhibitiwa na Wahouthi, Septemba 29, 2024.
IDF imethibitisha kuanzisha mashambulizi ya anga dhidi ya Wahouthi wanaoungwa mkono na Iran nchini Yemen muda mfupi uliopita.
Kulingana na IDF, ndege kadhaa za Jeshi la Anga la Israeli, zikiwemo ndege za kivita, za kuongezea mafuta, na za upelelezi, zilishiriki katika mashambulizi hayo yaumbali wa takriban kilomita 1,800 kutoka Israel.
Mashambulizi hayo yalilenga maeneo yanayotumiwa na utawala wa Houthi kwa madhumuni ya kijeshi katika bandari ya Hodeidah na bandari ya Ras Isa iliyo karibu magharibi mwa Yemen, IDF imesema.
"IDF ilishambulia mitambo ya umeme na bandari, ambazo zinatumika kuingiza mafuta. Kupitia miundombinu na bandari zinazolengwa, utawala wa Houthi unahamisha silaha za Iran kwenye eneo hilo, na vifaa vya kijeshi, ikiwemo mafuta," jeshi limesema.
IDF imesema mashambulizi hayo yalifanyika kujibu mashambulizi ya makombora ya balistiki ya hivi karibuni ya Wahouthi dhidi ya Israel, ikiwemo matatu mwezi huu.
====================================================
Fire and smoke can be seen rising in the distance in a video captured in Yemen following an Israeli strike on the Houthi-controlled Hodeidah port, September 29, 2024. (Screenshot, X, used in accordance with Clause 27a of the Copyright Law)
The IDF confirms launching airstrikes against the Iran-backed Houthis in Yemen a short while ago.
According to the military, dozens of Israeli Air Force aircraft, including fighter jets, refuelers, and spy planes, participated in the strikes some 1,800 kilometers from Israel.
The strikes targeted sites used by the Houthi regime for military purposes at Hodeidah and the nearby Ras Isa port in western Yemen, the IDF says.
“The IDF attacked power plants and a port, which are used to import oil. Through the targeted infrastructure and ports, the Houthi regime transfers Iranian weapons to the region, and supplies for military purposes, including oil,” the military says.
The IDF says the strikes were carried out in response to the Houthis recent ballistic missile attacks on Israel, including three this month
Mkuu kwa namna hii wanayofanya ni sawa na kutia mafuta kwenye moto.Ngoja tuone..
Mgogoro wa ME ulikuwa unakuja juu sana, nakubali hawawezi kuumaliza lakini kuna muda wanaweza kutuliza...
Kuna nadharia nyingi, japo nahisi itakuwa NATO wanaivuta Iran kuangalia mgogoro wa ME zaidi na kuachana na mgogoro wa Russia. Iran ilishaonekana threat kule... Sasa sijui North Korea itakuwaje...Mkuu kwa namna hii wanayofanya ni sawa na kutia mafuta kwenye moto.
Huu mgogoro unaenda kukua zaidi wala hautapooza.
Wangu Mimi ni yule ambaye hakuzaa wala hakuzaliwa wala Hana mfano wa chochoteNdo useme wewe
😁😁😁😁😁🇮🇱🇮🇱Hakuna madhara yeyote yaliyotokea.