Jeshi la Israel lafanya mashambulizi makubwa huko nchini Yemen na kusambaratisha kinu cha kuzalisha umeme na bandari

Namkubali sana Putin. Alisema kazi yake ni kuwawahisha magaid kwa Mungu.
Bila kumsahau netanyau alishaapa magaid yote atayawahisha jehanamu wakapambe na bikra 72 na kuogelea kwenye mito ya pombe
 
WAO WANAONANA NA MABIKIRA WAKIFA SISI TUTAMWONA MUNGU

HAIPOI MPAKA IISHE

WAMEZOEA KUCHEZA NA TAIFA LA MUNGU
 
kinachofwata
Wataelewa tu
C2 mmenielewa
 

Attachments

  • 1727617188224.jpg
    104.7 KB · Views: 2
  • 1727316022114.jpg
    91.3 KB · Views: 1
Wakamfwate kiboko ya wachawi awaombee else kipigo akiishi
 
Hawa Israel ni jino kwa jino..hakuna kuremba
 
Muislam yeyote yule anayekufa akitetea mali yake ni shahidi, anayekufa akitetea maisha yake ni shahidi, anayekufa akitetea imani yake ni shahidi, na anayekufa akitetea familia yake ni shahidi." โ€” (Sahih Muslim, Hadith 141)
Shahidi wa nini sasa?
 
Aya maneno uwa ni ya kitoto sana wewe hii vita unafaidika nayo vipi kama ni mambo ya Udini kwanini usikemee waafrika wenzio wanauana hapo SUDAN
 
Nchi za magharibi zimeamua kumaliza mgogoro wa mashariki ya kati haraka haraka ili kusudi waendelee na Russia na Ukraine.

Wanahitaji ku concentrate na Russia.
Migogoro ya ME ni kama ilikuwa mzigo kwao, ngoja wautue kwanza.
Huwezi kuitua middle east hata siku moja hilo wanajidanganya tatizo wao wanakimbia mita mia wenzao kina houth wanakimbia marathon hivyo kiuchumi Israel ijiangalia sana litakua taifa la kupewa tu kutoka ulaya na Marekani. Hizi mbwembwe wala houth hakua na interest nae aache uonevu kwa raia wa gaza uone nani atamsumbua
 
Ngoja tuone..
Mgogoro wa ME ulikuwa unakuja juu sana, nakubali hawawezi kuumaliza lakini kuna muda wanaweza kutuliza...
 
Hakuna maafa yeyote wala kifo wala majeruhi.
Na silaha ziko salama pamoja na bidhaa nyingine.
Hii siyo mara ya kwanza Israel analipua hapo Hodeidah.
Ni mara ya tatu kama sijakosea.
Subirini majibu kutoka Yemeni yanakuja hivi punde.
 
Mkuu kwa namna hii wanayofanya ni sawa na kutia mafuta kwenye moto.
Huu mgogoro unaenda kukua zaidi wala hautapooza.
Kuna nadharia nyingi, japo nahisi itakuwa NATO wanaivuta Iran kuangalia mgogoro wa ME zaidi na kuachana na mgogoro wa Russia. Iran ilishaonekana threat kule... Sasa sijui North Korea itakuwaje...

Lakini pia inawezekana wakafanikiwa kuwatuliza Hezbollah kwa muda kwa sababu hadi hivi sasa hata wao kwa wao hawaaminiani, kupanga mikakati ya mashambulizi kwa siri hawajiamini tena... Morali ya vita pia imeshuka... Hivyo itawachukua muda kujipanga...

Kutuliza mgogoro wa ME kwa muda ni kuwafanya US wapumue kidogo kwa kile kiendeleacho East Europe Russo War.....

Nadhani lakini, wale jamaa hawakurupuki... Kuna malengo wanayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ