Jeshi la Israel lajiweka kwenye tahadhari ya hali ya juu kabisa likihofia shambulizi la kijeshi kutoka Iran linaloweza kutokea muda wowote

Nimewaambia yeye na jamaa yake anaitwa Rozela walete ushahidi wa athari za Israel mimi niwaletee ushahidi wa athari za Iran kutoka vyombo vikuu vya habari.
Nipo hapa nawasubiri.
Unatoa ushahidi toka hapo buza sio?
 
Unaambiwa ulete ushahidi una unyanya.
Assassination attempts hata USA inaweza ikafanyiwa, assassination attempts ni kitu kigumu kukizuia.
Ila Full out war Israel hamuwezi Iran hata kidogo.
Kitendo cha Iran kuilipua Israel Oktoba 1 ni sawa na Iran ku declare full out war,je uliona Israel akitangaza vita dhidi ya Iran!?
Badala yake kafanya shambulizi la kioga kwa kutumia anga la Iraq yani hata kuingia anga la Iran kaogopa.
Mtu anayefadhiliwa silaha na USA,UK na France unataka umfananishe na kidume anayeunda silaha mwenyewe mwanzo mwisho!?
 
Mtu unamuomba ushahidi wa madhara ila anabwabwaja tu.
USA mwenyewe na washirika wake wamemuwekea Iran vikwazo vya silaha halafu mswahili wa Mbagala Chamazi anamdharau Iran.
Aiseeee wanachekesha hawa.
Awa jamaa kazi yao propaganda tu awana zaid wapo kimichongo chongo kama taifa teule la mchongo!!!
 
Unatoa ushahidi toka hapo buza sio?
Kazi yenu ndio iyo uwongo uwongo amuoni kama mnaiyaibisha ata Dini yenu mmekuwa kama watu msio muelekeo ukiambiwa thibitisha madai yko unatoka nduki!!!! Uwongo ndio maisha yenu ya kilasiku.
 
Kazi yenu ndio iyo uwongo uwongo amuoni kama mnaiyaibisha ata Dini yenu mmekuwa kama watu msio muelekeo ukiambiwa thibitisha madai yko unatoka nduki!!!! Uwongo ndio maisha yenu ya kilasiku.
Dini gani hiyo? Huu mjadala unahusiana na dini? Suala ni kwamba Iran imefumuliwa na Israel, hivi tunavyo ongea Ayatollah yuko mafichoni anohofia uhai wake, Rais wa Iran aliuawa, magaidi yanayofadhiliwa na Iran yanateketezwa, Allah hatoi msaada, shida tupu kwa kobazi.
 
Yakaleta madhara gani? Vipi kile kipigo kitakatifu ilichokipata toka kwa marubani 6 wakike? Dharau kubwa kwa Ayatollah
Ayo madhala anaficha kama anavochifa vipigo vengine jiulize ww kwann wapitishe sheria ya kuzuiya Habari vita lazima zitoke kwao tu sasa nani atatwambia kama wamekufa zaid ya 300!! Waondoe iyo sheria ndio utajua kwann uko Telaviv akuna kulala kenge maji.
 
Imefumuliwa kutoka usingizi kwako ulikuwa unaota, lete Ushaidi tuone ikifumuliwa!! Nasisi tukupe ushaidi Telaviv ikifumuliwa???? Tena live
 
Iran kamwe haiiwezi na haitoiweza Israel kivita.
 
Israel inateswa na Yemen imefungwa bandari yake muimu kazi uko Israel kwasasa akuna ali ngumu watu wanakimbia iyo nchi ya mchongo kwasasa imekuws kama Mvuti au kwa Tumbo kazi nyingi zimekufa maduka mengi yamefungwa mji umepoa sana watu wengi muimu wanakimbia maboom ya Yemen ambayo ayazuiliki kwasasa,
 
Wayahudi wao wanamwita mwanaharamu,unalizungumziaje hilo?
Kama ambavyo Mashia (Iran) mnaowashabikia wasivyomuamini Mudi. Kwao mtume wa Mwenyezi Mungu ni Hussein na si Muhammad!
 
Iran kapiga mala2 iyo Israel yeye nae imejaribu lkn Iran ikazuiya ujuma na Bado inamtwanga kutokea Yemen mwambie Netanyahu akabusu kilemba cha ayatollah mwaka umegeuka lkn ujuma zipo vilevile je Israel itatoboa huu mwaka 2025 yangu macho.
 
Kama ambavyo Mashia (Iran) mnaowashabikia wasivyomuamini Mudi. Kwao mtume wa Mwenyezi Mungu ni Hussein na si Muhammad!
Aliyekwambia hivyo kakuona zuzu amekuongopea mchana kweupe.
Tafuta mtu mwingine akupe somo namna wao mashia wanavyomchukulia Hussein.
 
Kama ambavyo Mashia (Iran) mnaowashabikia wasivyomuamini Mudi. Kwao mtume wa Mwenyezi Mungu ni Hussein na si Muhammad!
Shia wanasadiki kuwa Muhammad ni mtume.
Ila wanaamini kuwa Hussein ndio kiongozi wa umma baada ya kufa Muhammad kwasababu ni mjukuu wa mtume.
Mnapolishwa uongo huwa hamutizami aisee.
 
Aliyekwambia hivyo kakuona zuzu amekuongopea mchana kweupe.
Tafuta mtu mwingine akupe somo namna wao mashia wanavyomchukulia Hussein.
Shia ni swala tatu na siyo tano kama nyinyi na pia wanaamini Hussein ndo mtume wa mwenyezi Mungu kwa kizazi cha Waislam na si Muhammad, endelea kubisha.
 
Shia wanasadiki kuwa Muhammad ni mtume.
Ila wanaamini kuwa Hussein ndio kiongozi wa umma baada ya kufa Muhammad kwasababu ni mjukuu wa mtume.
Mnapolishwa uongo huwa hamutizami aisee.
Hao wapo kama madodoki.
 
Mtu unamuomba ushahidi wa madhara ila anabwabwaja tu.
USA mwenyewe na washirika wake wamemuwekea Iran vikwazo vya silaha halafu mswahili wa Mbagala Chamazi anamdharau Iran.
Aiseeee wanachekesha hawa.

Wavalishwa Pampers wanapenda sana mipasho hawajui ushahidi ni kitu gani
 
Iran ikithubutu kuishambulia Israel tena ndio itasambaratika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…