Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaambiwa ulete ushahidi una unyanya.Narudia tena kusema Iran kwa Israel hatambi anapigwa kama kawaida tu tena sehemu Netia tu. Kumbuka Ismail Hanniyeh kilichompata huko Mjini Tehran aliuwawa. Nikikuambia Israel Ina Mkono mrefu uwe unaelewa acha kujazwa propaganda na waarabu. Israel ni Level nyingine kabisa!!
Awa jamaa kazi yao propaganda tu awana zaid wapo kimichongo chongo kama taifa teule la mchongo!!!Mtu unamuomba ushahidi wa madhara ila anabwabwaja tu.
USA mwenyewe na washirika wake wamemuwekea Iran vikwazo vya silaha halafu mswahili wa Mbagala Chamazi anamdharau Iran.
Aiseeee wanachekesha hawa.
Kazi yenu ndio iyo uwongo uwongo amuoni kama mnaiyaibisha ata Dini yenu mmekuwa kama watu msio muelekeo ukiambiwa thibitisha madai yko unatoka nduki!!!! Uwongo ndio maisha yenu ya kilasiku.Unatoa ushahidi toka hapo buza sio?
Dini gani hiyo? Huu mjadala unahusiana na dini? Suala ni kwamba Iran imefumuliwa na Israel, hivi tunavyo ongea Ayatollah yuko mafichoni anohofia uhai wake, Rais wa Iran aliuawa, magaidi yanayofadhiliwa na Iran yanateketezwa, Allah hatoi msaada, shida tupu kwa kobazi.Kazi yenu ndio iyo uwongo uwongo amuoni kama mnaiyaibisha ata Dini yenu mmekuwa kama watu msio muelekeo ukiambiwa thibitisha madai yko unatoka nduki!!!! Uwongo ndio maisha yenu ya kilasiku.
Ayo madhala anaficha kama anavochifa vipigo vengine jiulize ww kwann wapitishe sheria ya kuzuiya Habari vita lazima zitoke kwao tu sasa nani atatwambia kama wamekufa zaid ya 300!! Waondoe iyo sheria ndio utajua kwann uko Telaviv akuna kulala kenge maji.Yakaleta madhara gani? Vipi kile kipigo kitakatifu ilichokipata toka kwa marubani 6 wakike? Dharau kubwa kwa Ayatollah
Imefumuliwa kutoka usingizi kwako ulikuwa unaota, lete Ushaidi tuone ikifumuliwa!! Nasisi tukupe ushaidi Telaviv ikifumuliwa???? Tena liveDini gani hiyo? Huu mjadala unahusiana na dini? Suala ni kwamba Iran imefumuliwa na Israel, hivi tunavyo ongea Ayatollah yuko mafichoni anohofia uhai wake, Rais wa Iran aliuawa, magaidi yanayofadhiliwa na Iran yanateketezwa, Allah hatoi msaada, shida tupu kwa kobazi.
Iran kamwe haiiwezi na haitoiweza Israel kivita.Dini gani hiyo? Huu mjadala unahusiana na dini? Suala ni kwamba Iran imefumuliwa na Israel, hivi tunavyo ongea Ayatollah yuko mafichoni anohofia uhai wake, Rais wa Iran aliuawa, magaidi yanayofadhiliwa na Iran yanateketezwa, Allah hatoi msaada, shida tupu kwa kobazi.
Kama ambavyo Mashia (Iran) mnaowashabikia wasivyomuamini Mudi. Kwao mtume wa Mwenyezi Mungu ni Hussein na si Muhammad!Wayahudi wao wanamwita mwanaharamu,unalizungumziaje hilo?
Aliyekwambia hivyo kakuona zuzu amekuongopea mchana kweupe.Kama ambavyo Mashia (Iran) mnaowashabikia wasivyomuamini Mudi. Kwao mtume wa Mwenyezi Mungu ni Hussein na si Muhammad!
Lete ushahidi na mimi nikuletee ushahidi ndio utajua kama unatokea Buza ama Mwanagati.Unatoa ushahidi toka hapo buza sio?
Shia wanasadiki kuwa Muhammad ni mtume.Kama ambavyo Mashia (Iran) mnaowashabikia wasivyomuamini Mudi. Kwao mtume wa Mwenyezi Mungu ni Hussein na si Muhammad!
Nawasubiri hapa walete nilichowaomba.Awa jamaa kazi yao propaganda tu awana zaid wapo kimichongo chongo kama taifa teule la mchongo!!!
Shia ni swala tatu na siyo tano kama nyinyi na pia wanaamini Hussein ndo mtume wa mwenyezi Mungu kwa kizazi cha Waislam na si Muhammad, endelea kubisha.Aliyekwambia hivyo kakuona zuzu amekuongopea mchana kweupe.
Tafuta mtu mwingine akupe somo namna wao mashia wanavyomchukulia Hussein.
Hao wapo kama madodoki.Shia wanasadiki kuwa Muhammad ni mtume.
Ila wanaamini kuwa Hussein ndio kiongozi wa umma baada ya kufa Muhammad kwasababu ni mjukuu wa mtume.
Mnapolishwa uongo huwa hamutizami aisee.
Mtu unamuomba ushahidi wa madhara ila anabwabwaja tu.
USA mwenyewe na washirika wake wamemuwekea Iran vikwazo vya silaha halafu mswahili wa Mbagala Chamazi anamdharau Iran.
Aiseeee wanachekesha hawa.
Akili zao ni za kuendeshwa na fununu tu.Wavalishwa Pampers wanapenda sana mipasho hawajui ushahidi ni kitu gani
Iran ikithubutu kuishambulia Israel tena ndio itasambaratika!Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa sahihi za kiinteligensia zaonyesha Iran inajambo lake
IDF imejipanga kikamilifu kukabiliana na jambo hilo.
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Mungu ibariki Israel , Adonai hajawahi shindwa
Mungu wabariki wote wanaomkiri Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wao
Live Update arrow right icon From the Liveblog of Sunday,
January 5, 2025
IDF said on high alert for ‘extreme’ Iranian steps against Israel
Today, 7:53 am
7
IDF Chief of Staff Lt. Gen. Herzi Halevi has ordered the military on high alert in case Iran decides to take “extreme” steps against Israel in the coming days, the Walla news site reports.
The report, citing unnamed defense sources, says the caution comes as Iran faces multiple challenges following setbacks in Lebanon and Syria. It also points to Iran’s plunging exchange rate, infrastructure problems and political unrest.
The sources also note the uncertainty for Iran ahead of the return of Donald Trump to the White House later this month.
All this has Israel concerned that Iran could lash out and has the IDF preparing for a variety of scenarios, the report says without elaborating.