Huko barabarani wanaenda kuoza juaShida mkigeukwa mnaanza kulia. Huko Lebanon watu milioni mbili wamekimbia makazi yao wanaishi barabarani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko barabarani wanaenda kuoza juaShida mkigeukwa mnaanza kulia. Huko Lebanon watu milioni mbili wamekimbia makazi yao wanaishi barabarani
Israel fire power yake ni kubwa na hao Magaidi watashindwa tu.Vita ni kupigwa na kupiga.
Hapo juzi jeshi la Israel lililposema limevuka mpaka wanamgambo wa Hizbullah walikanusha kuona askari hao wakibuka mpaka. Ilionekana ilikuwa ni taarifa za kupima kina cha bahari tu.
Leo ndio kwa mara ya mwanzo jeshi hilo limetia mguu na ripoti zinasema jeshi la IDF limepata hasara kubwa kwani magari ya ambalensi na helkopta vimeonekana vikiwa na harakati kubwa ya ingia toka kutoka ndani ya mpaka wa Lebanon
Taarifa hizo ni kwa mujibu wa wapasha habari wa Aljazeera ambao hata hivyo wanaripoti kutoka mbali kwani jeshi la IDF limekuwa likiwazuia Aljazeera kufanya kazi karibu nao.
Israeli forces appear to suffer casualties in first close combat with Hezbollah
Huyo ni mzanzibari, ambulance ndio wanavyoitaUnakimbia Nini ambalansi ndo Nini?
Iran inachohofia sio vita bali economic state iliyopo nayo sasa hivi.Watampiga pabaya sana. sasaivi nimeona wamepoint maeneo muhimu kama kile kisiwa chao kinachozalisha mafuta 99% ya Iran, Kituo cha kuzalisha umeme, Nuclear cites wanakojaribu kutengeneza bomb, na radar zao, na kuua viongozi wa Iran, ayatola sasaivi hatoki nje ya handaki kabisa.
Nijuacho, kwenye suala la mafuta, Marekani atafanya juu chini kuishawishi Israel wasipige kisiwa cha mafuta kwa sababu wanaona itavuruga uchumi wa dunia sana, ila cite ya nuke enrichment watapiga, na vituo vya umeme unaotegemewa. kuna uwezekano vita ikawa kubwa sana.
Iran anaogopa sana hii vita kwasababu anajua Marekani tayari alishajiandaa na yupo karibu na alimwahidi kwamba sifanye alichofanya jana. Iran ambao ni shia, wanajua hawana mtetezi, wapo peke yao. Russia atawaambia yupo nao ila huwa anaongea maneno tu hatoagi msaada (angalia syria aliwaahidi ila sasaivi ni failed state), china huwa anaongea tu ila hawezi kumsaidia kivita iran, North Korea hana uwezo kumsaidia. nchi zingine zote za kiislam haziwezi kumsaidia Iran kwa sababu ni adui yao kidini na Iran huwa anawatishia. wasuni wengi wanapenda iran apigwe.
why nasema anaogopa? utasikia jana, baada ya kupiga, amesema "nimeshapiga na sina mpango kuendelea kupiga" manake anaonyesha ulimwengu kwamba ameshajirudishia ila hana mpango wa kuendelea na vita, anataka kusema kwa sababu amejirudishia Israel nayo itulie isilipize. Ukweli ni kwamba Marekani, Israel, UK, france na magharibi wana uwezo mkubwa sana kumpiga Iran wapendavyo, na sasaivi inaweza kutokea.
my friend, Russia ameweka base pale pale kwa lengo la kuisaidia syria, lakini hata juzi Israel aliingia na kupiga kwa amani yote. kama ulikuwa unaijua Damascus ya zamani, ukiiona leo utaona huruma, ni kama Gaza,na Russia yupo palepale. however ninachoweza kukubaliana ni kwamba, Iran amezunguka sana kuomba diplomasia kwenye suala hili ili vita isiwe kubwa na Marekani amemwagiza Israel asipige maeneo mabaya kwa sababu kwanza hasara haitakuwa ya Iran peke yake, uchumi wa dunia utayumba kutokana na issue ya mafuta, kinu cha nuke kingeleta madhara kwa raia wa iran kama kingepasuliwa...naamini Iran ameweka mezani package nzuri sana ili Israel asipige sehemu mbaya na ili vita isisanuke kwa sababu wa kula hasara alikuwa yeye zaidi, na alilijua hilo.Iran inachohofia sio vita bali economic state iliyopo nayo sasa hivi.
Na usidanganye kuwa Russia hajasaidia Syria.
Syria Bashar Al assas is still on power till date because of the help of Russia.
Kuna miji mingi ikiwemo Idlib imekombolewa kutoka kwa waasi kwa usaidizi wa Russia.
Na Russia ameshaanza kutoa msaada wa silaha huko Iran kwa kuanza na ADS.
Russia will help and until now is helping.
Pole sana maskini lakini nakupa like wino wako usipotee bure, hata US na UK washinde hewani wanapiga proxy za Iran haziwezi kumalizwa hilo IDF atie akilini yaan aishi nalo muda wote. Kwani mwendo huu watu wanagoma kwenda Lebanon kupigana? Nguvu aliyoshusha mabomu ndio kwanza hizbollah kawambia jana wakazi vijiji 25 hawame North anajambo lake,my friend, Russia ameweka base pale pale kwa lengo la kuisaidia syria, lakini hata juzi Israel aliingia na kupiga kwa amani yote. kama ulikuwa unaijua Damascus ya zamani, ukiiona leo utaona huruma, ni kama Gaza,na Russia yupo palepale. however ninachoweza kukubaliana ni kwamba, Iran amezunguka sana kuomba diplomasia kwenye suala hili ili vita isiwe kubwa na Marekani amemwagiza Israel asipige maeneo mabaya kwa sababu kwanza hasara haitakuwa ya Iran peke yake, uchumi wa dunia utayumba kutokana na issue ya mafuta, kinu cha nuke kingeleta madhara kwa raia wa iran kama kingepasuliwa...naamini Iran ameweka mezani package nzuri sana ili Israel asipige sehemu mbaya na ili vita isisanuke kwa sababu wa kula hasara alikuwa yeye zaidi, na alilijua hilo.
Hoja ni nani mshindi hapa? mshindi ni Israel kwa sababu sasaivi anaweza kupiga Lebanon, Gaza na Syria na HUthi bila kumhofia Iran kwa vyovyote, sasaivi Iran amekuwa mtumwa na myahudi atasambaratisha proxies wote kwa uhuru. Pili, Myahudi hajamaliza, ameshajua Iran ana uwezo kurusha rocket hadi tel aviv tena akilenga precise places, hivyo atajenga defence yake kwa umakini sana ili kuzuia icho kitu kisiwepo tena. Pia, mossan wataongeza ufanisi kwa sababu walionekana kulega, na assassination ya watu mahsusi wa iran, wataalamu wa nukes na wengine itaendelea. sasaivi myahudi atakuwa makini mno kuliko kabla.
Iran amekula hasara kubwa sana kwasababu kwa miaka mingi ametumia mabilioni mengi sana ya dola kujenga miundombinu ya mahandaki na silaha kwa Hezbollah, Hamas, na huthi. hamas na Hezbollah ni kama inaenda kufika mwisho maana miundombinu yote imesambaratishwa, kwa lebanon wanachofanya sasaivi ni kutafuta majengo ya vitegauchumi vya hezbollah ambayo ni mengi sana, pawe na gaidi pasiwe na gaidi maadam ni jengo la hezbolla, linadondoshwa. Nani anawaonyesha? mateka, Israel kakamata hezbollah mateka wengi sana hadi msemaji wa hezobllah juzi alilalamika kwamba watu wao wengi wamekamatwa na wasubiri na wao wakamate wanajeshi wa israel kama mateka. hao wanabanwa na kutoa siri na kuonyesha ramani. pia kutokana na kukosekana kwa umoja lebanon (washia, wasuni, wakristo) israel ametumia mwanya huo kununua watoa taarifa wengi sana. Lebanon kuna mamluki wa mule mule wanaopokea mgao kwa Isarael wengi sana, ndio wanavujisha taarifa.
Watampiga pabaya sana. sasaivi nimeona wamepoint maeneo muhimu kama kile kisiwa chao kinachozalisha mafuta 99% ya Iran, Kituo cha kuzalisha umeme, Nuclear cites wanakojaribu kutengeneza bomb, na radar zao, na kuua viongozi wa Iran, ayatola sasaivi hatoki nje ya handaki kabisa.
Nijuacho, kwenye suala la mafuta, Marekani atafanya juu chini kuishawishi Israel wasipige kisiwa cha mafuta kwa sababu wanaona itavuruga uchumi wa dunia sana, ila cite ya nuke enrichment watapiga, na vituo vya umeme unaotegemewa. kuna uwezekano vita ikawa kubwa sana.
Iran anaogopa sana hii vita kwasababu anajua Marekani tayari alishajiandaa na yupo karibu na alimwahidi kwamba sifanye alichofanya jana. Iran ambao ni shia, wanajua hawana mtetezi, wapo peke yao. Russia atawaambia yupo nao ila huwa anaongea maneno tu hatoagi msaada (angalia syria aliwaahidi ila sasaivi ni failed state), china huwa anaongea tu ila hawezi kumsaidia kivita iran, North Korea hana uwezo kumsaidia. nchi zingine zote za kiislam haziwezi kumsaidia Iran kwa sababu ni adui yao kidini na Iran huwa anawatishia. wasuni wengi wanapenda iran apigwe.
why nasema anaogopa? utasikia jana, baada ya kupiga, amesema "nimeshapiga na sina mpango kuendelea kupiga" manake anaonyesha ulimwengu kwamba ameshajirudishia ila hana mpango wa kuendelea na vita, anataka kusema kwa sababu amejirudishia Israel nayo itulie isilipize. Ukweli ni kwamba Marekani, Israel, UK, france na magharibi wana uwezo mkubwa sana kumpiga Iran wapendavyo, na sasaivi inaweza kutokea.
Umeongea maneno mengi sana mkuu ambayo sidhani kama yana ulazima.my friend, Russia ameweka base pale pale kwa lengo la kuisaidia syria, lakini hata juzi Israel aliingia na kupiga kwa amani yote. kama ulikuwa unaijua Damascus ya zamani, ukiiona leo utaona huruma, ni kama Gaza,na Russia yupo palepale. however ninachoweza kukubaliana ni kwamba, Iran amezunguka sana kuomba diplomasia kwenye suala hili ili vita isiwe kubwa na Marekani amemwagiza Israel asipige maeneo mabaya kwa sababu kwanza hasara haitakuwa ya Iran peke yake, uchumi wa dunia utayumba kutokana na issue ya mafuta, kinu cha nuke kingeleta madhara kwa raia wa iran kama kingepasuliwa...naamini Iran ameweka mezani package nzuri sana ili Israel asipige sehemu mbaya na ili vita isisanuke kwa sababu wa kula hasara alikuwa yeye zaidi, na alilijua hilo.
Hoja ni nani mshindi hapa? mshindi ni Israel kwa sababu sasaivi anaweza kupiga Lebanon, Gaza na Syria na HUthi bila kumhofia Iran kwa vyovyote, sasaivi Iran amekuwa mtumwa na myahudi atasambaratisha proxies wote kwa uhuru. Pili, Myahudi hajamaliza, ameshajua Iran ana uwezo kurusha rocket hadi tel aviv tena akilenga precise places, hivyo atajenga defence yake kwa umakini sana ili kuzuia icho kitu kisiwepo tena. Pia, mossan wataongeza ufanisi kwa sababu walionekana kulega, na assassination ya watu mahsusi wa iran, wataalamu wa nukes na wengine itaendelea. sasaivi myahudi atakuwa makini mno kuliko kabla.
Iran amekula hasara kubwa sana kwasababu kwa miaka mingi ametumia mabilioni mengi sana ya dola kujenga miundombinu ya mahandaki na silaha kwa Hezbollah, Hamas, na huthi. hamas na Hezbollah ni kama inaenda kufika mwisho maana miundombinu yote imesambaratishwa, kwa lebanon wanachofanya sasaivi ni kutafuta majengo ya vitegauchumi vya hezbollah ambayo ni mengi sana, pawe na gaidi pasiwe na gaidi maadam ni jengo la hezbolla, linadondoshwa. Nani anawaonyesha? mateka, Israel kakamata hezbollah mateka wengi sana hadi msemaji wa hezobllah juzi alilalamika kwamba watu wao wengi wamekamatwa na wasubiri na wao wakamate wanajeshi wa israel kama mateka. hao wanabanwa na kutoa siri na kuonyesha ramani. pia kutokana na kukosekana kwa umoja lebanon (washia, wasuni, wakristo) israel ametumia mwanya huo kununua watoa taarifa wengi sana. Lebanon kuna mamluki wa mule mule wanaopokea mgao kwa Isarael wengi sana, ndio wanavujisha taarifa.
Akilipoti kutoka Buza,huyu ni myahudi mweusi wa kisemvuleWatampiga pabaya sana. sasaivi nimeona wamepoint maeneo muhimu kama kile kisiwa chao kinachozalisha mafuta 99% ya Iran, Kituo cha kuzalisha umeme, Nuclear cites wanakojaribu kutengeneza bomb, na radar zao, na kuua viongozi wa Iran, ayatola sasaivi hatoki nje ya handaki kabisa.
Nijuacho, kwenye suala la mafuta, Marekani atafanya juu chini kuishawishi Israel wasipige kisiwa cha mafuta kwa sababu wanaona itavuruga uchumi wa dunia sana, ila cite ya nuke enrichment watapiga, na vituo vya umeme unaotegemewa. kuna uwezekano vita ikawa kubwa sana.
Iran anaogopa sana hii vita kwasababu anajua Marekani tayari alishajiandaa na yupo karibu na alimwahidi kwamba sifanye alichofanya jana. Iran ambao ni shia, wanajua hawana mtetezi, wapo peke yao. Russia atawaambia yupo nao ila huwa anaongea maneno tu hatoagi msaada (angalia syria aliwaahidi ila sasaivi ni failed state), china huwa anaongea tu ila hawezi kumsaidia kivita iran, North Korea hana uwezo kumsaidia. nchi zingine zote za kiislam haziwezi kumsaidia Iran kwa sababu ni adui yao kidini na Iran huwa anawatishia. wasuni wengi wanapenda iran apigwe.
why nasema anaogopa? utasikia jana, baada ya kupiga, amesema "nimeshapiga na sina mpango kuendelea kupiga" manake anaonyesha ulimwengu kwamba ameshajirudishia ila hana mpango wa kuendelea na vita, anataka kusema kwa sababu amejirudishia Israel nayo itulie isilipize. Ukweli ni kwamba Marekani, Israel, UK, france na magharibi wana uwezo mkubwa sana kumpiga Iran wapendavyo, na sasaivi inaweza kutokea.
Hizi ni akili zako binafsi au sumu ya madrasa imetumika hapa ?Waambieni warushe aya makopokopo yao Iran muone yatavodakwa wanaangaika Syria Lebanon wkt Iran wanaijua ilipo sababu washapata sasa tunawaomba uwanjani Israel n babake USa n UK wote kwapamoja Iran anawajua vizuli akili zao wamewaandalia mauwa ya kutosha aina y Ross 😳😳😳😳😳