jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Mzuka wanajamvi,
Jeshi tukufu, takatifu na Teule la Israel IDF lapiga picha wakiwa ndani ya jengo la bunge Gaza huku wakipeperusha bendera ya taifa teule la Israel wakiwa na furaha.
View attachment 2813097
View attachment 2813098
Gaidi kwako ni mpigania uhuru kwa wenye kujielewa wote duniani.
Sikushangai mtumwa wa mazayuni.
ilo ni bunge au darasa?
Kipindi wanaingia gaza kiongozi wao Netanyau alisema wameenda kuiangamiza hamas na kurudisha mateka nyumbani na sio kwenda kupiga picha.
Wanawapa kipigo wanawake na watoto kwa sababu ndicho wanacho weza.
Wangekuwa wanatoa hicho kipigo kwa Hamas mpaka sasa hivi kusingekuwa na vita na hamas ingekuwa imeangamizwa maana hamas ni kundi dogo sana ukilinganisha na nguvu alizo tumia kuishambulia gaza mpaka sasa, hii ina maana ya kuwa mashambulizi yake mengi hayawaathiri hamas bali raia wa kawaida.
Siku ya 38 leo. Wameanza kupata wehu huko, inabidi wakodishe "mercenaries".
Unalielewa hilo?
Hii vita haijaisha ,Hamas sio wajinga kama ninyi wapuuzi wengi mnavyofikiri
Gaza itakuwa graveyard ya wazayuni , hapatakalika hapo na patakuwa mwiba always kwa mvamizi wa Kizayuni
Mzayuni atakuwa anapigana na ghosts ,we subiri uone .
Hamna mvamizi wa kizayuni atakayetoka salama hapo , hiyo ni zaidi ya urban warfare
Apartheid regime ya wazayuni haitaweza kuconqure Gaza hata siku moja ,ni mwendawazimu tu ndio atafikifiri hivyo ,ile breed ya raia wa kipalestina waliopo pale ni tofauti na wale mamluki wa kule westbank waliokubali kuongozwa na kibaraka wa wazayuni (Mahmoud Abbas ) huku wakiendelea kuteseka kila siku na ukandamizaji na dhulma za makaburu wa Kizayuni
Wale mtoto anazaliwa ana experience struggles dhidi ya wazayuni mpaka kukua ,
We unategemea huyo mtu atakubali vipi ku compromise na washenzi wazayuni .
An eye for an eye
Huo msemo ulio usema unaonesha mashaka makubwa dhidi jinsia yako.Bado hujasema.
Hahaha Yesu...Hibi kwanini tusimuombe mungu ?kwanini tumsifie na kumuomba yesu amabaye ni binadamm aliyezaliwa na mama kama sisi
Ww mungu wako wako yehova mbona ameshindwa kukusaidia kutoa upumbavu ndani ya kichwa chako , badala yake ame kufanya kuwa chanzo cha mapato ya mwamposa?Wewe si ulisema hawawezi ingia gaza na kama wakiingia hawatoki wakiwa hai,vipi allah yukowapi kutoa msaada au amekufa au hana masikio au hana macho. ?
Ww mungu wako wako yehova mbona ameshindwa kukusaidia kutoa upumbavu ndani ya kichwa chako , badala yake ame kufanya kuwa chanzo cha mapato ya mwamposa?
Huo msemo ulio usema unaonesha mashaka makubwa dhidi jinsia yako.
Uliza vzr ueleweshwe,hata waislam wanasubiri ujio wa Kristoni kweli kabisa..tunasubiri ujio wa mitume yesu akiwa ni mmojawapo..uko sahihi chief