jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Mzuka wanajamvi,
Jeshi tukufu, takatifu na Teule la Israel IDF lapiga picha wakiwa ndani ya jengo la bunge Gaza huku wakipeperusha bendera ya taifa teule la Israel wakiwa na furaha.
View attachment 2813097
View attachment 2813098
Mungu ibariki israel,tunaomba sasa waanze oparesheni kabambe ulimwenguni kuua na kuangamiza magaidi yote popote kule yalipo.