Historia itawahukumu wazayuni kwa hichi kinachoendelea, tabia ya kila taifa likifikia upeo wa dhuluma huwa linafutika katika uso wa ardhi.Kila mmoja pale myahud Israel na Arab Palestine ana amini anapigania haki Yake ndo shida ilipo, Kuishi kwa Amani na Upendo hawataki na kila mmoja kwa upande wake akahamia kwenye sheria za musa jino kwa jino Kibaya Zaid ktk Sheria za Musa hakunaga mshindi Zaid NI kumalizana tuuu