Huo "msuko" wa movement yao sio sustainable kwani kila atakayeitwa ni kiongozi atakuwa ni marehemu anayetembea.Hezbollah ilianzishwa kama guerilla movement, bila shaka movement yao wameisuka kuhimili scenario ya uongozi wa juu kuhujumiwa na israel
Yeah. Kila aina ya mbinu hutumika ili mpiganaji a-survive. Hakuna shujaa wa kifo. Hiyo ipo kote hata Mrusi na umwamba wake huitumia hali inapokuwa ni tete.Hiyo ni vita, wewe, tena kuna upande wapihanaji wao wanavaa kiraia, wanajificha na kujicuanganya na raia majumbani hata kambo zao ni makaazi ya raia. Hapo wewe ulitakaje?
Arudi Ili mumsakanye mumgongelee misumari!!?..BORA YESU ARUDI ILI AMANI ITAWALE
Makamanda waandamizi hawaishi hizbullah,kila siku wauawaHuo "msuko" wa movement yao sio sustainable kwani kila atakayeitwa ni kiongozi atakuwa ni marehemu anayetembea.
Mkuu; uwe mkweli. Hakuwezi kukawa na indefinite Number ya makamanda waandamizi. Mbona wameweza kuhesabu idadi ya wapiganaji walio nao e.g. kwa mujibu wa marehemu H. Nasrallah, Okt.2021 walikuwa 100,000. Inakuwaje hao makamanda ambao kwa kawaida huwa ni wachache wasihesabike?. Kumbuka hao wote ni marehemu wanaotembea.Makamanda waandamizi hawaishi hizbullah,kila siku wauawa
Uliona video ya netanyahu akikimbilia ndani ya bunker chini kabisa wakati vyuma vya Iran viko angani!?..kila mtu marehem mtarajiwa,Iran kishabadili kanuni za mchezoMkuu; uwe mkweli. Hakuwezi kukawa na indefinite Number ya makamanda waandamizi. Mbona wameweza kuhesabu idadi ya wapiganaji walio nao e.g. kwa mujibu wa marehemu H. Nasrallah, Okt.2021 walikuwa 100,000. Inakuwaje hao makamanda ambao kwa kawaida huwa ni wachache wasihesabike?. Kumbuka hao wote ni marehemu wanaotembea.