Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Taarifa za kivita zimeonesha kuwa wiki tatu za mapigano kwenye kambi ya Jabalia kaskazini ya Gaza ni moja ya mapambano makali vikosi vya Israel ilivyokutana navyo palipokuwa hapakutarajiwa hasa ikizingatiwa jeshi hilo lilikwishatangaza ushindi awali na kujiondoa eneo hilo mara zaidi ya moja.
Kilichotokea ni wapiganaji wa Hamas kurudi eneo hilo na kutengeneza mtandao ndani ya majengo yaliyobomolewa ambapo safari hii waliweza kufanya mashambulizi kwa kasi kubwa dhidi ya vikosi vya Israel na kufanikiwa kujificha bila kuonekana na jeshi hilo.
Kasi ya mashambulizi hayo ilikuwa ni mara 341 kwa kipindi kifupi kuliko kasi ilivyokuwa mara 200 kwenye eneo la Khan Younis.
Jeshi la Israel hatimae limetangaza kuondoka eneo hilo na mara tu wakaazi wa maeneo hayo wakaonekana kujikushangya upya.
Katika tangazo lake la kujiondoa jeshi la Israel limesema limefanikiwa kuwaua wapiganaji wa Hamas zaidi ya 100 katika kipindi hicho na kujeruhi za ya 1000.