Jeshi la Israel limedai kupitia chapisho kwenye mtandao wa X leo, kuwa limemuua kamanda wa kikosi cha Basij, ambacho ni kundi la kijeshi la usalama wa ndani chini ya Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC).
“Tukiongozwa na taarifa sahihi za kijasusi kutoka Idara ya Ujasusi wa Kijeshi, Jeshi la Anga lilifanya shambulio maalum jana katikati ya Tehran, na kumuondoa Gholam Reza Soleimani, kamanda wa kikosi cha Basij kwa kipindi cha miaka sita iliyopita,” ilisema taarifa hiyo. Hata hivyo, Iran bado haijathibitisha madai hayo.
Iwapo itathibitishwa, Soleimani atakuwa kiongozi wa ngazi ya juu zaidi kuuawa tangu kuanza kwa vita hivyo, baada ya mashambulizi ya pamoja ya Marekani na Israel kumuua aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ali Khamenei, pamoja na baadhi ya wanafamilia wake siku ya kwanza ya vita vilivyoanza Februari 28, 2026
Kwa mujibu wa kumbukumbu za Wizara ya Fedha ya Marekani, Soleimani alizaliwa mwaka 1965. Amewekewa vikwazo na Marekani, Umoja wa Ulaya na mataifa mengine kutokana na tuhuma za kushiriki kukandamiza upinzani kupitia kikosi cha Basij.
===========
“Guided by precise intelligence from Military Intelligence, the Air Force conducted a targeted strike yesterday in the heart of Tehran, eliminating Gholam Reza Soleimani, commander of the Basij unit over the past six years,” it said on Tuesday. Iran has not confirmed this claim.
If confirmed, Soleimani would be the highest level assassination in the war since United States-Israeli strikes killed the former Supreme Leader Ali Khamenei, and several members of his family on the first day of the war they launched on February 28.
The US Treasury records Soleimani’s birth year as 1965. He has been sanctioned by the United States, the European Union, and other countries for his alleged role in suppressing dissent through the Basij
Source: Al Jazeera
“Tukiongozwa na taarifa sahihi za kijasusi kutoka Idara ya Ujasusi wa Kijeshi, Jeshi la Anga lilifanya shambulio maalum jana katikati ya Tehran, na kumuondoa Gholam Reza Soleimani, kamanda wa kikosi cha Basij kwa kipindi cha miaka sita iliyopita,” ilisema taarifa hiyo. Hata hivyo, Iran bado haijathibitisha madai hayo.
Iwapo itathibitishwa, Soleimani atakuwa kiongozi wa ngazi ya juu zaidi kuuawa tangu kuanza kwa vita hivyo, baada ya mashambulizi ya pamoja ya Marekani na Israel kumuua aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ali Khamenei, pamoja na baadhi ya wanafamilia wake siku ya kwanza ya vita vilivyoanza Februari 28, 2026
Kwa mujibu wa kumbukumbu za Wizara ya Fedha ya Marekani, Soleimani alizaliwa mwaka 1965. Amewekewa vikwazo na Marekani, Umoja wa Ulaya na mataifa mengine kutokana na tuhuma za kushiriki kukandamiza upinzani kupitia kikosi cha Basij.
The Israeli military has claimed in a post on X Tuesday that it has killed the commander of the Basij unit, the internal security paramilitary militia of Iran’s Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC).“Guided by precise intelligence from Military Intelligence, the Air Force conducted a targeted strike yesterday in the heart of Tehran, eliminating Gholam Reza Soleimani, commander of the Basij unit over the past six years,” it said on Tuesday. Iran has not confirmed this claim.