Jeshi la Israel yashambulia Vituo vya Shirika la Afya Duniani (WHO), Gaza

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Shirika la Afya Duniani (WHO) limelaani vikali mashambulizi dhidi ya jengo lililokuwa na wafanyakazi wake mjini Deir al Balah, Gaza. Mashambulizi hayo yalifanyika baada ya jeshi la Israel kutoa amri mpya ya uhamishaji. WHO imesema wafanyakazi na familia zao, wakiwemo watoto, walikumbwa na hatari kubwa kutokana na mashambulizi ya angani yaliyosababisha moto na uharibifu mkubwa

Jeshi la Israel liliingia ndani ya jengo hilo, likawalazimisha wanawake na watoto kutembea kwa miguu kwenda Al-Mawasi huku mapigano yakiendelea. Wanaume waliwekwa pingu, kuvuliwa nguo, kuhojiwa na kuchunguzwa kwa bunduki kichwani. Watu wawili waliokuwa wafanyakazi wa WHO na jamaa zao wawili walikamatwa, watatu waliachwa huru lakini mmoja bado anazuiliwa

Mashambulizi haya yamesababisha WHO kupoteza uwezo wake mkubwa wa kuendesha shughuli zake za afya Gaza. Hifadhi kuu ya WHO ya dawa na vifaa tiba huko Deir al Balah imeharibiwa vibaya na baadaye kuporwa na wananchi waliokuwa na uhitaji mkubwa. Vifaa vingi vya afya sasa vimeisha, na maghala ya WHO hayawezi kufikiwa. Hali hii imeathiri msaada kwa hospitali na timu za matibabu.

WHO inatoa wito wa kuachiliwa mara moja kwa mfanyakazi wake aliyebaki kizuizini, na inalilia ulinzi wa wafanyakazi na majengo yake. WHO pia inasisitiza hitaji la usalama kwa raia na vituo vya afya, na kutoa wito wa kuingizwa kwa haraka misaada ya kibinadamu kama chakula, mafuta na vifaa vya afya bila vizingiti. Shirika hilo linasema hali Gaza imefikia pabaya, maisha yanazidi kuwa magumu na mfumo wa afya unakaribia kusambaratika kabisa

====
WHO condemns in the strongest terms the attacks on a building housing WHO staff in Deir al Balah in Gaza, the mistreatment of those sheltering there, and the destruction of its main warehouse

Following intensified hostilities in Deir al Balah after the latest evacuation order issued by Israeli military, the WHO staff residence was attacked three times today. Staff and their families, including children, were exposed to grave danger and traumatized after airstrikes caused a fire and significant damage

Israeli military entered the premises, forcing women and children to evacuate on foot toward Al-Mawasi amid active conflict. Male staff and family members were handcuffed, stripped, interrogated on the spot, and screened at gunpoint. Two WHO staff and two family members were detained. Three were later released, while one staff member remains in detention. Thirty-two people, including women and children, were collected and evacuated to the WHO office in a high-risk mission, once access became possible. The office itself is close to the evacuation zone and active conflict

WHO demands continuous protection of its staff and the immediate release of the remaining detained staff member

The latest evacuation order has affected several WHO premises. As the United Nations’s (UN) lead health agency, WHO’s operational presence in Gaza is now compromised, crippling efforts to sustain a collapsing health system and pushing survival further out of reach for more than two million people

Most of WHO’s staff housing is now inaccessible. Last night, due to intensified hostilities, 43 staff and their families were already relocated from several staff residences to the WHO office, under darkness and at significant risk

WHO’s main warehouse located in Deir al Balah is within the evacuation zone, and was damaged yesterday after an attack caused explosions and fire inside - part of a pattern of systematic destruction of health facilities. It was later looted by desperate crowds.

With the main warehouse nonfunctional and the majority of medical supplies in Gaza depleted, WHO is severely constrained in adequately supporting hospitals, emergency medical teams and health partners, already critically short on medicines, fuel, and equipment. WHO urgently calls on Member States to help ensure a sustained and regular flow of medical supplies into Gaza

The geographical coordinates of all WHO premises, including offices, warehouses, and staff housing, are shared with the relevant parties. These facilities are the backbone of WHO’s operations in Gaza and must always be protected, regardless of evacuation or displacement orders. Any threat to these premises is a threat to the entire humanitarian health response in Gaza

In line with the UN’s decision, WHO will remain in Deir al Balah, deliver and expand its operations

With 88% of Gaza now under evacuation orders or within Israeli-militarized zones, there is no safe place to go

WHO is appalled by the dangerous conditions under which humanitarians and health workers are forced to operate. As the security situation and access continue to deteriorate, red lines are repeatedly crossed, and humanitarian operations pushed into an ever-shrinking space to respond

WHO calls for the immediate release of the WHO staff member detained today, and the protection of all our staff and its premises. We reiterate our call for the active protection of civilians, health care and its premises and for rapid and unimpeded flow of aid, including food, fuel and health supplies, at scale into and across Gaza. WHO also calls for the unconditional release of hostages

Life in Gaza is being relentlessly squeezed, and the chance to prevent loss of lives and reverse immense damage to the health system slips further out of reach each day. A ceasefire is not just necessary, it is overdue

gzzz.png

Source: WHO
 
View attachment 3414074

Source: WHO
Mijitu hii ina roho mbaya sana sana na mikatiri, kuna wakati binafsi ufikiria kwamba labda Adolf Hitler alijua undani wao zaidi kuliko Dunia ilivyo kuwa inawachukulia!!

Kwa bahati mbaya Trump pamoja na baadhi ya Wabunge wa chama chake wanakaa kimya ie wana wasupport Wayahudi kutekeleza ukatiri huu husiyo na kifani - inasikitisha SANA.

Trump anataka hasa Wapalestina wote wahame GAZA ili yeye na Natenyahu waweze kujenga five star mahotel pamoja na Golf cources
kwenye Beach kwa ajili ya watalii.

Kuna tetesi kwamba karibu nyumba/makazi yote ya Wapalestina yamekwisha bomolewa na kugeuzwa kifusi, Wapalestina wana ambiwa kwamba watatafutiwa nchi nyingine ya kuishi/hamia - would you believe it??
 
Hiyo Roho mbaya yao ndiyo inafanya wasaivu katika huo Uganda otherwise watapotezwa.
 
Ndio Taifa teule la Mungu na Walokole wanawaombea ETI waanaamini kuna mungu wa Israel !!!

uyo ni Mungu au Shetani la kiIsrael !!

mana Mungu atendi ushetani kwa viumbe wake.!!?

Kufikia matendo kama aya. !!!

Kwa msaada wa Marekani na ULAYA Shetani wa kiIsrael yupo huru kufanya chochote kwa Binadam wa Palestina !!!

kesho na kesho kutwa MAZUNGU ya Marekani na ULAYA bado itajifanya kutetea haki za Binadamu kwenye nchi zengine !¿¿

mbele ya macho ya ulimwengu hii MIZUNGU MIkristo kabla aijaumbwa mishipa ya Aibu watakuwa walikatwa kabisa..!!!

Chembe ya Aibu awana utayasikia haki za Binadamu haki za Binadamu !!!

ndiomana Wairan wanasema Wazungu waongo na wanafiki awapo kutetea haki za yoyote zaid !!

wao wanatumia haki za Binadamu kama nyenzo ya kisiasa na Mashinikizo kwa nchi zenye kujitambua.!!!

Unaambiwa nchi za WAZUNGU Ulaya Magharibi na MAREKANI zote zinashiliki kuwauwa Kigaidi Wapalestina kwanjaa kwa mtutu mabomu kwa kiu ya maji wanawakosesha hospital majeruhi

lkn Unafiki kuiyadaa Dunia viongozi uko ULAYA
utayasikia midomoni tu kama yanakemea Israel kumbe wao ndio seem ya mauaji ya kizazi cha kipalestina..

MIZUNGU TUPA MBALIIII UKO..
 
Duniani kuna double standard sana.ulaya hawalali juu ya ukraine lakini israel anawaua wapelestina kama panya hakuna hatua zinazochukuliwa.yaani waisrael wameishahau walichofanyiwa na Hitler .kweli binadamu tumeumbwa kusahau.
 
Israel Haijasahau mkuu ila Hamas na wanaowaunga mkono ndio wamesahau waliichofanyiwa Israel Oct 7.
 
Inasemekana jpili watu 90 waliuliwa au majeruhi hapo Gaza.
Nimeona kwenye chanzo cha uhakika kabisa
 
Israel Haijasahau mkuu ila Hamas na wanaowaunga mkono ndio wamesahau waliichofanyiwa Israel Oct 7.
Labda uniambie kuwa Israel nao wanspigwa ila hawatangazi maana ratio ya watu 1300 kwa 60000 iko juu sana.halafu tunaelekea mwaka wa pili bado Israel hajamaliza vita.
 
Mijitu hii ina roho mbaya sana sana na mikatiri, kuna wakati binafsi ufikiria kwamba labda Adolf Hitler alijua undani wao zaidi kuliko Dunia ilivyo kuwa inawachukulia!!

Kwa bahati mbaya Trump pamoja na baadhi ya Wabunge wa chama chake wanakaa kimya ie wana wasupport Wayahudi kutekeleza ukatiri huu husiyo na kifani - inasikitisha SANA.

Trump anataka hasa Wapalestina wote wahame GAZA ili yeye na Natenyahu waweze kujenga five star mahotel pamoja na Golf cources
kwenye Beach kwa ajili ya watalii.

Kuna tetesi kwamba karibu nyumba/makazi yote ya Wapalestina yamekwisha bomolewa na kugeuzwa kifusi, Wapalestina wana ambiwa kwamba watatafutiwa nchi nyingine ya kuishi/hamia - would you believe it??
Waambieni wawachie watu wao, bila hivyo watakuwa na hali mbaya zaidi.
Na hivi sasa mataifa yanaungana dhidi ya Israel, Hamas wanaona kama ulimwengu upo upande wao, kumbe wanaumiza na kutatanisha watu wao wenyewe
 
Back
Top Bottom