MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Jeshi la Kenya (KDF) linafana juu chini kuhakikisha kila Askari mwenye cheo Cha kanali hawezi kupiga chafya bila rais na amir Jeshi mkuu wa nchi hiyo kupewa taarifa.
Sababu kubwa ya rais kuongeza umakini huo ni baada ya mapinduzi kadhaa yaliyotokea Afrika magharibi mengi yao yaliongozwa na makanali.
Kuna tetesi kuwa asilimia kubwa ya wananchi na wanajeshi hawana Imani na rais wao hasa baada ya kuanza kusaini mikataba ya ovyo ya kuiuza nchi kwa waarabu bila huruma.
Sasa hivi simu zote za makanali zinadukuliwa kuhakikisha hawaleti tafrani patashka.