DAR si LAMU
JF-Expert Member
- Mar 31, 2007
- 2,928
- 551
Nimeshangaa, nahisi US wanaweza kuwa wamenusa kitu kibaya maana tone yao ya kumtaka Kibaki akubali majadiliano imebadilika ghafla. Sasa wanataka serikali ya mpito, marekebisho ya katiba pamoja taratibu za uchaguzi na hapa nadhani target ni ECK. Kwa maneno mengine wana-support madai ya ODM! Tayari Michuki ameisharopoka kwamba US wako pro-ODM na kwamba serikali haiwezi kukubaliana na hayo masharti ya ODM. Ngoja tuone mpaka mwisho wa siku kutakuwa na nini!
..keil,
..US imekasirika baada ya kuona inapuuzwa!kumbuka kuwa hawa jamaa hawapendi kudharauliwa.sasa,wapambe wa kibaki wanafanya mambo ambayo yanalikoroga badala ya kulipika!
..hebu jiulize,michuki alikuwa anawa-refer kina nani aliposema "kuna watu wanatupinga,tutawafukuza kenya"akimaanisha kuvunja mahusiano ya kibalozi!
..yeye eshajiona mtawala wa dunia!and i was wondering,hivi yeye ndiye rais wa kenya au?kwa maana hiyo statement ni nzito!huwezi mtishia mtu mzima nyau!
..simply put,kibaki alishauriwa vibaya na hawa watu[michuki & co.] na wanampeleka kubaya zaidi.
..nani anaweza kudharau reports za EU,EAC,mabalozi wa UK na US na wengine walioona nini kilichoendelea!?