Jeshi la Kenya: wakati muafaka kulinisuru taifa?


..keil,

..US imekasirika baada ya kuona inapuuzwa!kumbuka kuwa hawa jamaa hawapendi kudharauliwa.sasa,wapambe wa kibaki wanafanya mambo ambayo yanalikoroga badala ya kulipika!

..hebu jiulize,michuki alikuwa anawa-refer kina nani aliposema "kuna watu wanatupinga,tutawafukuza kenya"akimaanisha kuvunja mahusiano ya kibalozi!

..yeye eshajiona mtawala wa dunia!and i was wondering,hivi yeye ndiye rais wa kenya au?kwa maana hiyo statement ni nzito!huwezi mtishia mtu mzima nyau!

..simply put,kibaki alishauriwa vibaya na hawa watu[michuki & co.] na wanampeleka kubaya zaidi.

..nani anaweza kudharau reports za EU,EAC,mabalozi wa UK na US na wengine walioona nini kilichoendelea!?
 
Mambo yenyewe ndio kama haya atapona mtu kweli?

 

Mzee anaogopa kupinduliwa
 
Mzee anaogopa kupinduliwa

Honestly mimi sioni njia nyingine muafaka ya kufanya hapo jirani ili watu wasiedelee kuuana. Kama Jeshi lina nidhamu na litasimamia haki. Itakuwa bora kwani sura mbili Kibaki na Raila watakuwa "In Break" na muafaka utaweza kutafutwa bila wao kuwepo na ku-influence directly. Kibaki anapojiweka hapo alipojiweka ..Inleta polarasation kwenye kila usuluhishi unaofanyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…