Jeshi la Korea ya Kusini laomba msamaha kwa kushindwa kuzitungua drones za Korea ya Kaskazini

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Tofauti kabisa na mawazo ya timu Marekani humu jamvini ambayo hung'ang'ania ushindi hata kama imepigwa za uso, jeshi la Korea ya Kusini limeomba msamaha wa wazi kwa kushindwa kuzipiga drones za Korea ya Kaskazini kwa masaa matano (jana wao wenyewe walisema kwa masaa 7, leo wamepunguza na kusema walipambana nazo bila mafanikio kwa masaa matano).

Habari hizo ni kwa mujibu wa shirika la habari la BBC kipenzi cha mabeberu!!

Namwalika shabiki mkubwa wa mabeberu MK 254 ambaye nina uhakika anaijua vizuri lugha ya malkia ajisomee vizuri habari hii ambayo alijitahidi sana kuipinga!!

By Kathryn Armstrong
BBC News

South Korea's military has apologised for failing to shoot down five drones that North Korea flew across their mutual border on Monday.

Seoul fired warning shots and sent jets and attack helicopters to shoot down the aircraft, one of which flew close to the capital.

Despite a five-hour pursuit, the drones reportedly all returned to North Korea
.

South Korea's President has said that the incident showed the military's readiness was "greatly lacking".

South Korea's Joint Chiefs of Staff, which represents the major branches of its armed services, acknowledged in a statement on Tuesday that while the military can counter "attack drones that pose a real threat", it is limited in its ability to detect and strike smaller spy drones.

"Our military's lack of preparedness has caused a lot of concern to the people," said a senior official, Kang Shin-chul. He added that the military would "actively employ detection devices to spot the enemy's drone from an early stage and aggressively deploy strike assets".

The BBC's Seoul correspondent, Jean Mackenzie, has said it is concerning because the drone that flew near Seoul had the potential to run surveillance operations and to photograph sensitive areas.
 
By Jean Mackenzie in Seoul & Robert Plummer in London
BBC News

South Korean military officials say North Korea has flown five drones across their mutual border.
The "unmanned aerial vehicles" violated South Korean airspace in the border areas around Gyeonggi province, said the country's joint chiefs of staff.
One drone flew all the way to the northern edge of the capital, Seoul, before returning across the border.
Jets and attack helicopters were deployed, but 100 rounds fired from helicopters failed to shoot them down.
 
.... wewe ni mweupe sana kwenye medani za kijeshi ndugu. Kaa kwa kutulia sidhani hata kama umeelewa maana ya keywords zilizotumika yanapokuja masuala ya kistratejia kama haya.
 
Drones siyo rahisi kuzitungua kwa kutumia air defence systems sababu ya udogo wake, speed yake na pia hazizalishi joto linaloweza kuwa detected na radar. Zinatembea kwa mwendo mdogo ambao unafanya na mwendo wa viumbe wengine wa angani kama ndege, kunguru n.k..kwa hiyo kuicalibrate air-defence system Ili iweze kutungua drones itasababusha hasara kubwa kwani Itakua inafanya detection hadi ya hao viumbe..so itaanza kutungua hadi hao kunguru wa angani..so Itakuwa more complicated na gharama kubwa..kumbuka gharama ya drone inaweza kuwa 150times cheaper than the cost of air defence system missile.

Kutumia fighter jet na helicopter ndo uzwazwa Zaidi kwani hizo drones zinatembea kwa mwendo mdogo na chini chini so possibility ya kuparamia majengo ni kubwa sana...
 
Drones siyo rahisi kuzitungua kwa kutumia air defence systems sababu ya udogo wake na speed yake. Unatembea kwa mwendo mdogo ambao unafanya na mwendo wa viumbe wengine wa angani kama ndege, kunguru n.k..kwa hiyo kuicalibrate air-defence system Ili iweze kutungua drones itasababusha hasara kubwa kwani Itakua inafanya detection hadi ya hao viumbe..so itaanza kutungua hadi hao kunguru wacangani..so Itakuwa more complicated na gharama kubwa..kumbuka gharama ya drone inaweza kuwa more 150times cheaper than the cost of air defence system missile.
Kutumia fighter jet na helicopter ndo uzwazwa Zaidi kwani hizo drones zinatembea kwa mwendo mdogo na chini chini so possibility ya kuparamia majengo ni kubwa sana...
Mbona tunaambiwa huko Ukraine zinaunguzwa kila siku
 
Mbona tunaambiwa huko ukraine zinaunguzwa kila siku
Ukrain wamesha poteza fighter jets Zaidi ya tatu walizotumia kujaribu kuintercept hizo drones...drones zinatungulika but siyo rahisi.kwa sasa Ukrain wanatumia mfumo wa zamani wa ulinzi wa anga kutoka German inaitwa Gepard anti aircraft kutungua hizo drones ambao ndio atleast umeonyesha mafanikio
IMG_20221228_045413.jpg
 
Marekebisho kidogo hapo kwenye "kushindwa kuzitungua drones za Korea kusini"
 
Tofauti kabisa na mawazo ya timu marekani humu jamvini ambayo hung'ang'ania ushindi hata kama imepigwa za uso, jeshi la korea ya kusini limeomba msamaha wa wazi kwa kushindwa kuzipiga drones za korea ya kusini kwa masaa matano (jana wao wenyewe walisema kwa masaa 7, leo wamepunguza na kusema walipambana nazo bila mafanikio kwa masaa matano).

Habari hizo ni kwa mujibu wa shirika la habari la BBC kipenzi cha mabeberu!!

Namwalika shabiki mkubwa wa mabeberu MK 254 ambaye nina uhakika anaijua vizuri lugha ya malkia ajisomee vizuri habari hii ambayo alijitahidi sana kuipinga!!

By Kathryn Armstrong
BBC News

South Korea's military has apologised for failing to shoot down five drones that North Korea flew across their mutual border on Monday.

Seoul fired warning shots and sent jets and attack helicopters to shoot down the aircraft, one of which flew close to the capital.
Despite a five-hour pursuit, the drones reportedly all returned to North Korea
.
South Korea's President has said that the incident showed the military's readiness was "greatly lacking".

South Korea's Joint Chiefs of Staff, which represents the major branches of its armed services, acknowledged in a statement on Tuesday that while the military can counter "attack drones that pose a real threat", it is limited in its ability to detect and strike smaller spy drones.

"Our military's lack of preparedness has caused a lot of concern to the people," said a senior official, Kang Shin-chul. He added that the military would "actively employ detection devices to spot the enemy's drone from an early stage and aggressively deploy strike assets".

The BBC's Seoul correspondent, Jean Mackenzie, has said it is concerning because the drone that flew near Seoul had the potential to run surveillance operations and to photograph sensitive areas.

1672206428324.png

Au sijaelewa vizuri

Ameshindwa kutungua drone zake mwenyewe

Anahaja gani ya kuhangaika kuzitungua si angesitisha kuzirusha tu?
 
so Itakuwa more complicated na gharama kubwa..kumbuka gharama ya drone inaweza kuwa 150times cheaper than the cost of air defence system missile.
Kutumia fighter jet na helicopter ndo uzwazwa Zaidi kwani hizo drones zinatembea kwa mwendo mdogo na chini chini so possibility ya kuparamia majengo ni kubwa sana...
Ni kama kuua panya kwa short gun
 
Drones siyo rahisi kuzitungua kwa kutumia air defence systems sababu ya udogo wake, speed yake na pia hazizalishi joto linaloweza kuwa detected na radar. Zinatembea kwa mwendo mdogo ambao unafanya na mwendo wa viumbe wengine wa angani kama ndege, kunguru n.k..kwa hiyo kuicalibrate air-defence system Ili iweze kutungua drones itasababusha hasara kubwa kwani Itakua inafanya detection hadi ya hao viumbe..so itaanza kutungua hadi hao kunguru wa angani..so Itakuwa more complicated na gharama kubwa..kumbuka gharama ya drone inaweza kuwa 150times cheaper than the cost of air defence system missile.

Kutumia fighter jet na helicopter ndo uzwazwa Zaidi kwani hizo drones zinatembea kwa mwendo mdogo na chini chini so possibility ya kuparamia majengo ni kubwa sana...
Kutumia jet ni uzwazwa daah[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sante kwa elimu hii,ninyi ndo tunawahitaji JF,sio hawa akina MK254 na genge lake[emoji849][emoji849][emoji849]
 
.... wewe ni mweupe sana kwenye medani za kijeshi ndugu. Kaa kwa kutulia sidhani hata kama umeelewa maana ya keywords zilizotumika yanapokuja masuala ya kistratejia kama haya.
Kama alipata zero form four ataelewa wapi hata neno Moja?
 
.... wewe ni mweupe sana kwenye medani za kijeshi ndugu. Kaa kwa kutulia sidhani hata kama umeelewa maana ya keywords zilizotumika yanapokuja masuala ya kistratejia kama haya.
Mimi nimeleta taarifa kama ilivyoripotiwa na BBC. Soma mwenyewe!! Kama ni weupe basi jeshi la korea ya kusini ndio weupe maana wamekiri hadharani na kuomba msamaha kwa kushindwa kuziangusha drones hizo za korea ya kaskazini!!
 
Eti wamekiri hadharani! Hujaelewa maana ya kinachodaiwa "kukiri".
 
Drones siyo rahisi kuzitungua kwa kutumia air defence systems sababu ya udogo wake, speed yake na pia hazizalishi joto linaloweza kuwa detected na radar. Zinatembea kwa mwendo mdogo ambao unafanya na mwendo wa viumbe wengine wa angani kama ndege, kunguru n.k..kwa hiyo kuicalibrate air-defence system Ili iweze kutungua drones itasababusha hasara kubwa kwani Itakua inafanya detection hadi ya hao viumbe..so itaanza kutungua hadi hao kunguru wa angani..so Itakuwa more complicated na gharama kubwa..kumbuka gharama ya drone inaweza kuwa 150times cheaper than the cost of air defence system missile.

Kutumia fighter jet na helicopter ndo uzwazwa Zaidi kwani hizo drones zinatembea kwa mwendo mdogo na chini chini so possibility ya kuparamia majengo ni kubwa sana...
Kama si rahisi kutungua drones kwa kutumia jet fighters na helcopter kwa nini jeshi la korea ya kusini limeomba msamaha? Kwa nini waombe msamaha kwa kitu ambacho hawana uwezo nacho? Kwa hiyo unataka kutuambia korea ya kusini asubiri tu kipigo toka korea ya kaskazini maana hana namna ya kupambana na hizo drones za korea ya kaskazini!!! Kwa hiyo unakiri kuwa korea ya kusini na mlinzi wake Marekani hawana la kufanya kwa drones za korea ya kaskazini!! MK 254 akikusikia.

Ukweli ni kwamba kuna namna ya kuzitungua drones!! Urusi anazitungua sana tu na kupunguza madhara maana bomu lililobebwa na drone linalipukia angani na hizo debris zake zikidondoka madhara yake yanakuwa si makubwa sana!
 
Marekebisho kidogo hapo kwenye "kushindwa kuzitungua drones za Korea kusini"
Hakuna marekebisho! Sentensi ya BBC ni hii hapa: South Korea's military has apologised for failing to shoot down five drones.

For failing = kwa kushindwa!!, Apologised = Wameomba msamaha!! Msamaha umeombwa hadharani maana wametumia chombo cha habari kutoa msamaha huo!! Najua MK 254 anaona UKAKASI SANA lakini hana jinsi!!
 
Eti wamekiri hadharani! Hujaelewa maana ya kinachodaiwa "kukiri".
Kukiri ni kukubali kuwa NDIVYO ILIVYO!! Kwa muktadha huu Jeshi la korea ya kusini liliposema linaomba msamaha kwa kushindwa kuziangusha drones za korea ya kaskazini maana yake ni kuwa WAMEKUBALI KUWA NI KWELI WAMESHINDWA na huko ndiko kukiri kwenyewe!! Hata kama ni chungu kwa timu marekani imezeni hivyo hivyo!! Na chombo cha habari kilichoripoti kukubali kushindwa huko ni cha BBC kipenzi cha mabeberu!!

Kinachonishangaza ni kwamba wahusika wakuu kwa maana ya jeshi la korea ya kusini wamekubali kuwa walishindwa kuzianmgusha hizo drones za korea ya kaskazini japo walipambana nazo kwa masaa kadhaa, lakini MABEBERU wa BUZA ya bongo hawakubali kushindwa huko!!! Hicho ndicho kichekesho chenyewe!!
 
Read between the lines of what they said. Inahitajika akili fulani hivi.
 
Reading between the lines does not mean to ignore what is plainly written on the lines!! Between the lines are written the imaginations of your only mind!! and each one has his/her own imaginations!! they have no face value at all!! TAKE NOTE: The writer communicates with his/her audience through what is written on the lines and not otherwise!!!
 
Namwalika MK 254 atusomee hii hapa halafu aiweke kwenye kiswahili cha kenya:

South Korea apologizes for response to drone incident​

A senior military official admitted to shortcomings in Seoul’s reaction after North Korean drones entered the South’s airspace
South Korea apologizes for response to drone incident

FILE PHOTO: The flags of North Korea and South Korea are seen near the border area between the two countries, in Paju, South Korea, August 9, 2021. © AP / Yonhap / Im Byung-shik
South Korea has issued an apology to its citizens after failing to shoot down several North Korean drones that crossed the border earlier this week, acknowledging that the incident stoked fears among the public while vowing a more aggressive response in the future.
Lieutenant General Kang Shin-chul, the chief director of operations for the South Korean military’s Joint Chiefs of Staff (JCS), commented on the drone breach in a statement on Tuesday, noting flaws in Seoul’s military preparedness.
“We feel sorry that although our military detected and tracked the drones, we failed to shoot them down,” he said, adding, “in the end, we have caused much public concern due to insufficiency in the military readiness posture.”
 
Back
Top Bottom