Kukiri ni kukubali kuwa NDIVYO ILIVYO!! Kwa muktadha huu Jeshi la korea ya kusini liliposema linaomba msamaha kwa kushindwa kuziangusha drones za korea ya kaskazini maana yake ni kuwa WAMEKUBALI KUWA NI KWELI WAMESHINDWA na huko ndiko kukiri kwenyewe!! Hata kama ni chungu kwa timu marekani imezeni hivyo hivyo!! Na chombo cha habari kilichoripoti kukubali kushindwa huko ni cha BBC kipenzi cha mabeberu!!
Kinachonishangaza ni kwamba wahusika wakuu kwa maana ya jeshi la korea ya kusini wamekubali kuwa walishindwa kuzianmgusha hizo drones za korea ya kaskazini japo walipambana nazo kwa masaa kadhaa, lakini MABEBERU wa BUZA ya bongo hawakubali kushindwa huko!!! Hicho ndicho kichekesho chenyewe!!