Jeshi la Korea ya Kusini laomba msamaha kwa kushindwa kuzitungua drones za Korea ya Kaskazini

Wameomba msamaha kujikosha tu..coz walitumia Zaidi ya massa sita kufukuzana na hizo drones..but In Reality drones ni ngoma nzito..wanajua wamekosea coz wanajinadi kuwa na modern air defence system ambazo North Korea hawana..so like lilikuwa ni jaribio kwao na ni prove kwamba North Korea anaweza kushambulia opopote akitaka
 
Kama alipata zero form four ataelewa wapi hata neno Moja?
Haya wewe uliyefaulu tafasiri hii hapa:

South Korea apologizes for response to drone incident​

A senior military official admitted to shortcomings in Seoul’s reaction after North Korean drones entered the South’s airspace

FILE PHOTO: The flags of North Korea and South Korea are seen near the border area between the two countries, in Paju, South Korea, August 9, 2021. © AP / Yonhap / Im Byung-shik
South Korea has issued an apology to its citizens after failing to shoot down several North Korean drones that crossed the border earlier this week, acknowledging that the incident stoked fears among the public while vowing a more aggressive response in the future.
Lieutenant General Kang Shin-chul, the chief director of operations for the South Korean military’s Joint Chiefs of Staff (JCS), commented on the drone breach in a statement on Tuesday, noting flaws in Seoul’s military preparedness.
“We feel sorry that although our military detected and tracked the drones, we failed to shoot them down,” he said, adding, “in the end, we have caused much public concern due to insufficiency in the military readiness posture.”
 
Serikali ya Marekali imekula kimyaaaaa!!!! utafikiri hakuna kilichotokea huko korea ya kusini ilikosheheni majeshi yake na silaha lukuki za kujilinda na kushambulia! Maana si kwa aibu ile!!
 
Hapa MK 254 anapita kimya kimya tu utafikiri hayupo kumbe amejaa tele humu!!!
 
Wameomba msamaha kwa bwana wake marekani lakini pia ni kuficha aibu ya marekani kwa silaha zake mbovu
 
.... wewe ni mweupe sana kwenye medani za kijeshi ndugu. Kaa kwa kutulia sidhani hata kama umeelewa maana ya keywords zilizotumika yanapokuja masuala ya kistratejia kama haya.
Wewe unajua nini? Zaidi ya ku Google kuna unacho jua? Kila mtu humu ana google wacha kujifanya unajua sana
 
Mimi nimeleta taarifa kama ilivyoripotiwa na BBC. Soma mwenyewe!! Kama ni weupe basi jeshi la korea ya kusini ndio weupe maana wamekiri hadharani na kuomba msamaha kwa kushindwa kuziangusha drones hizo za korea ya kaskazini!!
Nakuunga mkono, huenda waliacha kuziangusha kwasababu hawajui zina content gani-milipuko, mionzi et cetere: drones za iran zikiangushwa kwenye mkusanyiko wa watu husababisha uharibifu mkubwa kwakuwa zimesheheni milipuko
 
Wameomba msamaha kwa bwana wake marekani lakini pia ni kuficha aibu ya marekani kwa silaha zake mbovu
Kiongozi: mi naamini kuwa kutoziangusha na kuomba msamaha yote ni mbinu za medani-tactically mpiganaji sahihi akishambuliwa unprepared hatakiwi kujibu mpaka afanye tathmin ya shambulio
 
Sasa kama South Korea wameshindwa kuzidondoa hizo drone, kwa nini iwe chungu kwa timu marekani ? Ni uzembe wa wakorea wenyewe na aibu ni yao.
 
Mbona tunaambiwa huko Ukraine zinaunguzwa kila siku
Drones za irani ni kubwa na zinabeba milipuko hivyo zina-automatically activate defence system
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…