Jeshi la Marekani lakamata magaidi 5 walioteka meli ya mizigo ya Muisraeli

Jeshi la Marekani limewakamata washambuliaji watano waliokamata meli ya mizigo yenye uhusiano na Israel katika Ghuba ya Aden huku kukiwa na mashambulizi ya makombora kutoka Yemen inayodhibitiwa na Wahouthi. Mwangamizi USS Mason alijibu siku ya Jumapili wito wa SOS kutoka kwa meli ya kibiashara ambayo ilikuwa imechukuliwa na washambuliaji wenye silaha katika Ghuba, Kamanda Mkuu wa Marekani alitangaza.
---
US destroyer USS Mason responds to a distress call from an Israel-linked commercial tanker in the Gulf of Aden.
The US military has captured five attackers who seized an Israel-linked cargo ship in the Gulf of Aden amid missile attacks from Houthi-controlled Yemen.

The destroyer USS Mason responded on Sunday to an SOS call from a commercial tanker that had been taken over by armed assailants in the Gulf, US Central Command announced.

The Liberian-flagged tanker, which had been hauling phosphoric acid, was identified as the Central Park by the vessel’s company. The ship is managed by Zodiac Maritime Ltd, a London-headquartered international ship management firm, owned by Israel’s Ofer family.

The US military said the USS Mason, with help from allied ships, demanded that the commercial ship be released by the attackers.

“Subsequently, five armed individuals debarked the ship and attempted to flee via their small boat,” US Central Command said in a statement. “The Mason pursued the attackers resulting in their eventual surrender.”

The statement added that two ballistic missiles were fired from Houthi-controlled parts of Yemen in the general direction of the Mason and the Central Park, but landed about 10 nautical miles away from the vessels, resulting in no damage or injuries.

Unalisha watu matangopori wa Marekani wenyewe wamekanusha we umeng'ang'ana [emoji23][emoji23]

Pentagon: Attempted Ship Hijacking Yesterday Not Linked to #Houthis but Likely Carried Out by #Somali Pirates

The US Department of Defense states that the attempted hijacking of a commercial vessel in the Gulf of Aden on Sunday seems to have been orchestrated by Somali pirates rather than Yemeni Houthis.by Somali pirates rather than Yemeni Houthis.
IMG_20231128_165247.jpg
 
Marekani na Israel wanaua watoto na waandishi wa habari halafu wanajisifu.

Binafsi niko against vifo vya watoto na civilians. Lakin tuwe honest, vita zote duaniani watoto , wanawake na civilians wanakuwa wahanga namba moja. Look at current conflicts , hawa watu wanakuwa at line of fire or hot conflict zone.
Hizo ni outcome za vita na kuna mengi zaidi
 
Hakuna cha watoto wala nini,mengi yaliyouliwa ni magaidi,watoto kila siku picha ni hizo hizo ili kudanganya dunia.

Wanajeshi sio chini ya 3000 wameuawa dhidi ya Hamas, je hamas wangapi wameuawa dhidi ya wanajeshi?

Screenshot_20231127-115944_Instagram.jpg

Taarifa hii ya 5 days ago

Endelea kufurahia tu vifo vya watoto, wamama na wazee
 
Binafsi niko against vifo vya watoto na civilians. Lakin tuwe honest, vita zote duaniani watoto , wanawake na civilians wanakuwa wahanga namba moja. Look at current conflicts , hawa watu wanakuwa at line of fire or hot conflict zone.
Hizo ni outcome za vita na kuna mengi zaidi

Israel wanauwa watoto, wamama na wazee

Hamas wanauwa wanajeshi
Screenshot_20231127-115944_Instagram.jpg
Hii ni taarifa 5 days ago

Hapo nani mwanaume?

Namshindi amejulikana mchana kweupee
 
Je ! Waliokamatwa walikuwa wamevaa viatu au kobazi?

Je! Walikuwa wamevaa suruali au pedo?

Je! Walikuwa na uchafu wa kichaka Cha midevu au walikuwa wamenyoa? Upelelezi uanzie hapo
 
Jeshi la Marekani limewakamata washambuliaji watano waliokamata meli ya mizigo yenye uhusiano na Israel katika Ghuba ya Aden huku kukiwa na mashambulizi ya makombora kutoka Yemen inayodhibitiwa na Wahouthi. Mwangamizi USS Mason alijibu siku ya Jumapili wito wa SOS kutoka kwa meli ya kibiashara ambayo ilikuwa imechukuliwa na washambuliaji wenye silaha katika Ghuba, Kamanda Mkuu wa Marekani alitangaza.
---
US destroyer USS Mason responds to a distress call from an Israel-linked commercial tanker in the Gulf of Aden.
The US military has captured five attackers who seized an Israel-linked cargo ship in the Gulf of Aden amid missile attacks from Houthi-controlled Yemen.

The destroyer USS Mason responded on Sunday to an SOS call from a commercial tanker that had been taken over by armed assailants in the Gulf, US Central Command announced.

The Liberian-flagged tanker, which had been hauling phosphoric acid, was identified as the Central Park by the vessel’s company. The ship is managed by Zodiac Maritime Ltd, a London-headquartered international ship management firm, owned by Israel’s Ofer family.

The US military said the USS Mason, with help from allied ships, demanded that the commercial ship be released by the attackers.

“Subsequently, five armed individuals debarked the ship and attempted to flee via their small boat,” US Central Command said in a statement. “The Mason pursued the attackers resulting in their eventual surrender.”

The statement added that two ballistic missiles were fired from Houthi-controlled parts of Yemen in the general direction of the Mason and the Central Park, but landed about 10 nautical miles away from the vessels, resulting in no damage or injuries.

Kwa muda niliofanya kazi, na hawa jamaa, USA, UK, wazungu(wakristo), huwa hawataki ujinga kwenye Mambo Yao, nilikuwa kwenye taasisi moja,niliona moto wanaowashiana mmoja wao akizingua, haijalishi ni mzungu, ukienda kinyume na mifumo Yao, wanakuzingua balaaa,
Sasa hv wanajaribu kumlinda binamu Yao Israel, harafu inatokea mi Arab, tena myeusi kama mkaa, eti inateka meli,ilifikiri wajomba watakaa kimya!?
 
Israel wanauwa watoto, wamama na wazee

Hamas wanauwa wanajeshi
View attachment 2828519Hii ni taarifa 5 days ago

Hapo nani mwanaume?

Namshindi amejulikana mchana kweupee

Sorry to tell you wkt ww unalinganisha nani “mwanaume”, this is not video game
People lives are at stakes here

Kama adui ana hide among civilians , civilians ndio watapata majanga zaidi. It simple as that
WWII, iraq vita vyote vinashare the same thing, wanawake na watoto ndio wanapata madhara zaid
 
Sijakuelewa
 
Jeshi la Marekani limewakamata washambuliaji watano waliokamata meli ya mizigo yenye uhusiano na Israel katika Ghuba ya Aden huku kukiwa na mashambulizi ya makombora kutoka Yemen inayodhibitiwa na Wahouthi. Mwangamizi USS Mason alijibu siku ya Jumapili wito wa SOS kutoka kwa meli ya kibiashara ambayo ilikuwa imechukuliwa na washambuliaji wenye silaha katika Ghuba, Kamanda Mkuu wa Marekani alitangaza.
---
US destroyer USS Mason responds to a distress call from an Israel-linked commercial tanker in the Gulf of Aden.
The US military has captured five attackers who seized an Israel-linked cargo ship in the Gulf of Aden amid missile attacks from Houthi-controlled Yemen.

The destroyer USS Mason responded on Sunday to an SOS call from a commercial tanker that had been taken over by armed assailants in the Gulf, US Central Command announced.

The Liberian-flagged tanker, which had been hauling phosphoric acid, was identified as the Central Park by the vessel’s company. The ship is managed by Zodiac Maritime Ltd, a London-headquartered international ship management firm, owned by Israel’s Ofer family.

The US military said the USS Mason, with help from allied ships, demanded that the commercial ship be released by the attackers.

“Subsequently, five armed individuals debarked the ship and attempted to flee via their small boat,” US Central Command said in a statement. “The Mason pursued the attackers resulting in their eventual surrender.”

The statement added that two ballistic missiles were fired from Houthi-controlled parts of Yemen in the general direction of the Mason and the Central Park, but landed about 10 nautical miles away from the vessels, resulting in no damage or injuries.

Unaleta fake newz?unajiaibisha hapa

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom