Jeshi la Marekani lapeleka ndege za kivita aina ya F-15E Mashariki ya Kati ikijiandaa na shambulizi la Iran

Jeshi la Marekani lapeleka ndege za kivita aina ya F-15E Mashariki ya Kati ikijiandaa na shambulizi la Iran

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Kumekuchaaa!

Ndege vita hatari ziko njiani kwenda Mashariki ya kati na tayari zimekatiza anga ya Jordan

Iran kuishambulia Israel kutokea Iraq.

========

The United States is continuing to send forces to the Middle East ahead of an expected Iranian attack on Israel, with flight tracking sites showing American F-15E aircraft en route to Jordan.

According to Haaretz, at least 12 of the jets are on their way to the region, joining the fighter planes already deployed.

There is no formal announcement from the US military.
 
Israeli hawezi kupigana mwenyewe mpaka USA apeleke rasirimali na hela za walipa Kodi wake?.

Mbona Iran ameishi na vikwazo toka miaka ya 70 mpaka Leo na bado anakuwa na uwezo wa kuvimba, inamaana huyu Iran asingekuwa na vikwazo miaka yote hiyo angeweza kuwa tishio Sana duniani aisee.
 
Wapenda-vita wanataka kukinukisha mwishoni mwishoni kabla hawajakabidhi madaraka kwa Trump!

Au tuseme ndiyo wanataka kumrithisha vita kinguvu?
 
Bahati nzuri Iran umesha sema kuwa nchi yeyote itakayo ruhusu ardhi yake kutumika cha moto itakiona.
 
Israeli hawezi kupigana mwenyewe mpaka USA apeleke rasirimali na hela za walipa Kodi wake?.

Mbona Iran ameishi na vikwazo toka miaka ya 70 mpaka Leo na bado anakuwa na uwezo wa kuvimba, inamaana huyu Iran asingekuwa na vikwazo miaka yote hiyo angeweza kuwa tishio Sana duniani aisee.
Halafu kuna kondoo zinaamini israel wana akili kubwa sana
 
USA amejua Iran bila kupitisha pitisha ndege za kijesh atoelewa mana IRAN yupo tayali kwa vita kwaiyo USA anatumia mikwala ya ndege zipite pite juu uko pengine watajizuiya waIran na promis no 3 ambayo washaona uwelekeo wake. Wamewachoka sasa wana haaaa kuwatuliza muajemi anemsikia ni russia sasa nayeye mmemuekea vikwazo!!! wameona watumie ndege Pengine utulivu upatikane. Lkn IRAN atachapa tu kwasasa anasubilia wafunge iyo THAAAD apite nazo.😆😆😆
 
Bahati nzuri Iran umesha sema kuwa nchi yeyote itakayo ruhusu ardhi yake kutumika cha moto itakiona.
Yaleyale ya Russia kwamba yeyote yule atakaye isaidia Ukraine atakiona kilicho mnyoa kanga manyoya.🤣🤣🤣
 
Israeli hawezi kupigana mwenyewe mpaka USA apeleke rasirimali na hela za walipa Kodi wake?.

Mbona Iran ameishi na vikwazo toka miaka ya 70 mpaka Leo na bado anakuwa na uwezo wa kuvimba, inamaana huyu Iran asingekuwa na vikwazo miaka yote hiyo angeweza kuwa tishio Sana duniani aisee.
Iran itageuka kifusi muda Utasema!
 
Halafu kuna kondoo zinaamini israel wana akili kubwa sana
Hawaishii hapo huwa wwnadema pray for isreli ...yaani wamepewa jukum la kuombea wazungu kwa rsngi zao kama sio utumwa ni kitu gani unafikiri .
Kww nini na wao wasiwaombee hii ngozi nyeusi
 
Back
Top Bottom