Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Halafu kuna kondoo zinaamini israel wana akili kubwa sanaIsraeli hawezi kupigana mwenyewe mpaka USA apeleke rasirimali na hela za walipa Kodi wake?.
Mbona Iran ameishi na vikwazo toka miaka ya 70 mpaka Leo na bado anakuwa na uwezo wa kuvimba, inamaana huyu Iran asingekuwa na vikwazo miaka yote hiyo angeweza kuwa tishio Sana duniani aisee.
Hizo zinaenda kutungua makombora tuWapenda-vita wanataka kukinukisha mwishoni mwishoni kabla hawajakabidhi madaraka kwa Trump!
Au tuseme ndiyo wanataka kumrithisha vita kinguvu?
Yaleyale ya Russia kwamba yeyote yule atakaye isaidia Ukraine atakiona kilicho mnyoa kanga manyoya.π€£π€£π€£Bahati nzuri Iran umesha sema kuwa nchi yeyote itakayo ruhusu ardhi yake kutumika cha moto itakiona.
Iran itageuka kifusi muda Utasema!Israeli hawezi kupigana mwenyewe mpaka USA apeleke rasirimali na hela za walipa Kodi wake?.
Mbona Iran ameishi na vikwazo toka miaka ya 70 mpaka Leo na bado anakuwa na uwezo wa kuvimba, inamaana huyu Iran asingekuwa na vikwazo miaka yote hiyo angeweza kuwa tishio Sana duniani aisee.
Hawaishii hapo huwa wwnadema pray for isreli ...yaani wamepewa jukum la kuombea wazungu kwa rsngi zao kama sio utumwa ni kitu gani unafikiri .Halafu kuna kondoo zinaamini israel wana akili kubwa sana