Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Jeshi la Nepal litaanza tena mazungumzo na waandamanaji wa "Gen Z" siku ya leo Alhamisi ili kuamua kiongozi mpya wa muda wa taifa hilo la Himalaya, msemaji wa jeshi la nchi hiyo amesema baada ya maandamano ya hasira na kuua 30 na kulazimisha waziri mkuu kujiuzulu.
Wanajeshi walishika doria katika mitaa tulivu ya Kathmandu, mji mkuu, baada ya kushuhudiwa kwa maandamano mabaya zaidi kuwahi kutokea kwa miaka kadhaa nchini humo yaliyochochewa na marufuku ya mitandao ya kijamii ambayo mamlaka iliirejesha tena baada ya vifo 19 huku polisi wakifyatua mabomu ya machozi na risasi za mpira kuudhibiti umati wa watu.
"Mazungumzo ya awali yanaendelea na yataendelea leo," Raja Ram Basnet, ameiambia Reuters, yakiwa ni majadiliano ya kumpata kiongozi mpya wa muda. "Tunajaribu kurekebisha hali polepole." Wizara ya afya ya Nepal imesema idadi ya waliofariki kutokana na maandamano hayo imeongezeka hadi 30 kufikia leo Alhamisi, huku 1,033 wakijeruhiwa.
Maagizo ya marufuku ya kutotoka njeiliyowekwa katika mji mkuu wa Kathmandu na maeneo ya karibu kwa siku nzima itaendelea kwa mujibu wa taarifa ya jeshi huku msemaji wa uwanja wa ndege akibainisha kuwa safari za ndege za kimataifa zimeendelea kama kawaida. Maandamano hayo yanajulikana kama maandamano ya "Gen Z" kwa kuwa washiriki wengi walikuwa vijana wakielezea kusikitishwa na kushindwa kwa serikali kupambana na rushwa na kukuza fursa za kiuchumi.
Waandamanaji wamemtaka Jaji Mkuu wa zamani Sushila Karki kama waziri mkuu wa muda, kwa mujibu wa Raman Kumar Karna, katibu wa Chama cha Wanasheria wa Mahakama ya Juu, ambaye walishauriana naye. Maandamano hayo yameshuhudia majengo ya serikali, kuanzia mahakama kuu hadi nyumba za mawaziri, ikiwa ni pamoja na makazi ya kibinafsi ya Oli, yakichomwa moto, na kupungua baada ya waziri mkuu kujiuzulu. Pia hoteli kadhaa katika mji wa kitalii wa Pokhara na Hilton huko Kathmandu.
==============For English Audience ================

KATHMANDU, Sept 11 (Reuters) - Nepal's army was set to resume talks on Thursday with "Gen Z" protesters to pick an interim leader for the Himalayan nation, an army spokesperson said, after angry demonstrations that killed 30 and forced the prime minister to resign.
Soldiers were patrolling the quiet streets of Kathmandu following the capital's worst protests in decades, triggered by a social media ban that authorities rolled back after 19 deaths as police fired tear gas and rubber bullets to control crowds.
Former Chief Justice Sushila Karki, who was Nepal's first woman appointed to the job in 2016, is the front-runner to be interim leader, with her name suggested by many of those leading the protest.
"We see Sushila Karki for who she truly is — honest, fearless, and unshaken," said Sujit Kumar Jha, a 34-year-old supporter of the agitation. "She’s the right choice. When truth speaks, it sounds like Karki."
Karki, 73, has given her consent, but efforts are being made to find a constitutional route to appoint her, a source familiar with the matter told Reuters, speaking on condition of anonymity.
However, there were some differences over her candidature among the protesters, who were seeking to reach a unanimous decision, another source said.
SOURCE: REUTERS