Jeshi la Polisi Dodoma linamwogopa Dogo Manda? Kuna nini nyuma ya Pazia?

Nilijua tu huyo dogo mwenye silaha ambae polisi waliondoka nae hawezi kuwa hai had muda huu ni lazima alikufa wakati anakimbizwa hospital

Sasa na huyo alebaki mnatakiwa mumfanyie kazi ile wanayo fanyaga wananchi wenye hasira kali Sasa endeleeni kujilegeza awapake mafuta
 
Huyu angekuwa Arusha au Moshi ashamalizwa muda sana, mambo mengine wagogo mnalea ujinga ujinga
 
Wewe ni Raisi ajaye wapi?
 
Hayo ndio madhara ya polisi division 0 au nao wanakula hela za Dogo Manda!.

Simu ya jambazi inaita. Polisi anaipokea, Dogo Manda anauliza, "ile kazi umeimaliza?", polisi anauliza "kazi gani?"

Ilitakiwa polisi ajibu, "ndio nimeimaliza".halafu msikie m
Dogo Manda anasemaje.

Inawezekana kulikuwa na malipo ya baada ya kazi, na hapo ndio wangemkamata huyo Dogo Manda.


Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Sijawahi bahitika kuishi na watu wababe na najua Mungu kaweka hivyo ili kuniepusha na dhambi za mauajii maana mm mapenda sana kuua wauaji hadi mda huu bila kupepesa macho nimekata roho kama 5 hivi. Kuna watu humu humu jf nawafuatilia maana wananukia damu na ukiona pua yako hai sense damu basi juwa ni ww targeted
 
Una Stress!!
 

Iwe ni uhalifu wa aina yoyote unatokea au haujapangwa kutokea.Siku zote polisi huwa wanajua. Ukiona kuna pahali unalalamikiwa sana, jitahidi kurekebisha.
 
Kuna baadhi ya watu wanaishi kwa sheria zao, aisèe poleni sana
 
Hakukuwa na lengo la kumkamata
 
Atakutana na CHUMA siku moja tu waache wamchekee tu.. alafu ataelewa SOMO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…