Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Hao wananchi Nao ni kama mazezeta vile,mutu Mmoja mnashindwa kumfanyia raketi ya kimyakimya,kama mchana mnaogopa mnaifanya usiku kesho asubuhi mnatangaza ni watu wasiojulikana ndo wamefanya tukio,Acha wamwendekeze ,huku kwetu watu wa hivyo Huwa hatuilalamikii polisi ,Huwa tunajua Cha kuwafanyiaDogomanda anaogopeka sana hapo chigongwe kuna kituo cha kushusha abiria kinaitwa kwa Dogo Manda ndiyo anaishi hapo, sometimes usiku unakuta gari la polisi wa doria limepaki hapo, wanasimamisha malori makubwa na kuyapekua. Lazima kuna namna.
Makamu wa Rais, anza na hawa polisi wako, wanyooshe maelezo, huyo jamaa akichekewa siku moja ataua polisi.
Kwa hyo mlikuwa mnamuhifadhi mualifuHahaha noma sana Abbas amewahi kuishi kwetu asee na hata saivi kwa mzee wake ni nyumba ya jirani na ya mshua wangu.
Ila hajawahi tufanyia tukio sisi maana tulikua tunamjua. Ila jamaa alifanya matukio asee.
Au ndiye yule aliyekuwa akiishi chang'ombe juu zamani ??Dogo Manda ni Yule alikuwa anaenda minada ya Manjspaa? Mngoni mwenye daladala au ni yupi huyo mzaliwa wa Chigongwe?
Hatukuwa tunajua kipindi hicho mzee.Kwa hyo mlikuwa mnamuhifadhi mualifu
anaitwa Andrea ni mzaliwa wa hapohapo Chigongwe na kumbe kweli alifungwa huo mwaka 2003 kwa mauaji ya mlinzi wa Kampuni. wakati Katambi akiwa Mkuu wa Wilaya alifika hapo na kura zikapigwa zikamuangukia yy Andrea ( Dogo Manda)Au ndiye yule aliyekuwa akiishi chang'ombe juu zamani ??
Duh! Kumbeeeanaitwa Andrea ni mzaliwa wa hapohapo Chigongwe na kumbe kweli alifungwa huo mwaka 2003 kwa mauaji ya mlinzi wa Kampuni. wakati Katambi akiwa Mkuu wa Wilaya alifika hapo na kura zikapigwa zikamuangukia yy Andrea ( Dogo Manda)
Nimeambiwa kwa sasa anajiita Papaa Mukulu wakati ana umbo hilohilo dogo, sifa nyingine ni kudhulumu mashamba ya wenzake wanakijiji,Kajamaa kenyewe ukikaona ni kadogodogo kama jina lake.
Kweli kabisa bwana UkwajuNimeambiwa kwa sasa anajiita Papaa Mukulu wakati ana umbo hilohilo dogo, sifa nyingine ni kudhulumu mashamba ya wenzake wanakijiji,
Hapo warudi tu kwa Mbunge wao ambaye ni naibu sasa washirikiane na Siro patatulia hata km hakuna ushahidi
KabisaMwisho wa ubaya ni aibu
Ndiyo anajiita papaa, kwasasa chigongwe inamwogopaNimeambiwa kwa sasa anajiita Papaa Mukulu wakati ana umbo hilohilo dogo, sifa nyingine ni kudhulumu mashamba ya wenzake wanakijiji,
Hapo warudi tu kwa Mbunge wao ambaye ni naibu sasa washirikiane na Siro patatulia hata km hakuna ushahidi
Wanafanya kazi gani na umesema kuna biashara haramu, au ndiyo wanashirikiana kwenye hizo biashara? Kuhusu mauaji ni kitu gani nimeandika ambacho hakina uhalisia?Mleta mada unajichanganya na maelezo yako. Police Kama police Tena wa mkoa wa dodoma watamuogopaje dogo manda kijana mdogo kabisa mwenye maisha ya kuuza diseal za kunyonya kwenye malori
Kutoka Dodoma mjin mpaka anakoish dogo manda ni km 25. Askari wa doria wa bah na mjin wanashinnda mitaa Ile. Kiufup. Eneo Hilo lote mpaka kigwe Kuna biashara harum ya dizel. Police wanafanya Kaz kila siku hawamuongop wewe una chuk zako tu
Duuh,basi ni dogo hatari sanaDogo Manda sio dogo in such!! Ni jina tu hadi Simbacha alinyoosha miguu