Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

Mwenyekiti Mbowe angesema tu ukweli kuwa kateleza wakati anapanda ngazi kwa bahati mbaya bila shaka viongozi wote wangemfariji kwa pole na pasingekuwa na mtafaruku wa sintofahamu hii au mnasemaje wadau
 
Mwenye kiti Mbowe angesema tu ukweli kuwa kateleza wakati anapanda ngazi kwa bahati mbaya bila shaka viongozi wote wangemfariji kwa pole na pasingekuwa na mtafaruku wa sintofahamu hii au mnasemaje wadau
Wewe nani kakwambia kateleza na ukaamini kweli kateleza.
 
Mwenye kiti Mbowe angesema tu ukweli kuwa kateleza wakati anapanda ngazi kwa bahati mbaya bila shaka viongozi wote wangemfariji kwa pole na pasingekuwa na mtafaruku wa sintofahamu hii au mnasemaje wadau

Kumbuka Mbowe na Zito walisema mwaka wa 2020 ni mwaka wa hekeka kwa serikari, kwamba watafanya mambo makubwa ya kuitikisa serikari,
Bahati mbaya mwaka unaisha sasa wengine inabidi watafute lolote bila kujali madhala yake, wengine wanatengeneza vi clip wanapeleka BBC na balozi za uingeleza kwa kujificha
Ila hali ndo hivyo haiko upandw wao sasa ni kutapatapa tu.
 
Mwenye kiti Mbowe angesema tu ukweli kuwa kateleza wakati anapanda ngazi kwa bahati mbaya bila shaka viongozi wote wangemfariji kwa pole na pasingekuwa na mtafaruku wa sintofahamu hii au mnasemaje wadau
Unaamini Nini?
 
Ni kweli, ukweli humfanya mtu awe huru.
 
Mna Vyombo vyote vya Dola na vina watii ,kudanganya ni kosa kisheria ni kwa nini msishitaki huyo Mh Mbowe kwa kuzusha mambo ?
 
Zitto kaishia kujificha kwake hata Bunge hili lote hajasogeza kwato yake Dodoma

Yuko busy na uchaguzi wa Znz kuliko wa Jimbo lake la kigoma Mjini
 
Ungetumia huu muda uliotumia hapa kujifunza kuandika ingekusaidia kiasi.

Hekeka[emoji777]
Heka heka[emoji818]

Serikari[emoji777]
Serikali[emoji818]

Makuwa[emoji777]
Makubwa[emoji818]

Madhala[emoji777]
Madhara[emoji818]

Uingeleza[emoji777]
Uingereza[emoji818]

Upandw[emoji777]
Upande[emoji818]
 
Ushauri mbovu aliupata kwa walevi wenzie. Lema, msigwa, heche na sugu.
Walimuambia we sena umeshambuliwa, sie tutapigilia msumari. Bahati picha limekataa maana wazo lile lilitokana na ulevi.
Msigwa pombe imeisha akataka amwage ukweli. Ikabidi aishie akawa anapanda ngazi.
 
Mna Vyombo vyote vya Dola na vina watii ,kudanganya ni kosa kisheria ni kwa nini msishitaki huyo Mh Mbowe kwa kuzusha mambo ?

Mwezi wa kumi atashitakiwa tu kwa wananchi,
Akipelekwa kwa sasa mtabadilisha maneno kuwa wanamshitaki ili kupunguza nguvu zake kisiasa.
 
Mwezi wa kumi atashitakiwa tu kwa wananchi,
Akipelekwa kwa sasa mtabadilisha maneno kuwa wanamshitaki ili kupunguza nguvu zake kisiasa.

Hapana ,kama mnayo hakika Sheria have haitakiwi kuchagua wakati ili kuteklezwa.Ni lini mliwahi kutishwa na maneno ya wapinzani !?.Nyie fanyeni tu msi zunguke zunguke Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…