Huyu wa 3m sio RTO huyu ni wa barabarani wakawaida kwa ma rto hiyo ni ya wiki.Usicheze na kofia nyeupe, kulaza milioni 3 kwa mwezi sio lelemama, ni mshahara wa afisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu wa 3m sio RTO huyu ni wa barabarani wakawaida kwa ma rto hiyo ni ya wiki.Usicheze na kofia nyeupe, kulaza milioni 3 kwa mwezi sio lelemama, ni mshahara wa afisa
Alisema mwaka jana fedha ya stika inanunua magari ya patrol ya polisi nchi nzima, mimi sijaona gari jipya zaidi ya yale matenga ya uchaguzi wa 2010Sagini ni mjanja mjanja
Siasa nyingi naye anakula 🤣🤣
Upo mkoa gani mkuu huku niliko kuna matenga mapya kama saba hiviAlisema mwaka jana fedha ya stika inanunua magari ya patrol ya polisi nchi nzima, mimi sijaona gari jipya zaidi ya yale matenga ya uchaguzi wa 2010
Jiwe alikwisha limaliza hili, alisema pesa ya kufuta vumbi hivyo haifai kulalamikiwa.View attachment 2767115View attachment 2767115
Jeshi La Polisi idara ya TRafick inafanya kazi kwa weledi wa hali ya Juu.
Hawa Polisi ambao wale wa vyeo vya chini huvaa sare nyeupe za kupendeza na kuonyesha unadhifu wa hali ya juu nje ya mwilina ndani ya roho sijui lakini pia wale wa vyeo vya juu huvaa nguo za kaki za kupendeza wanyonge huku wakiwa na mikanda viunoni ya ngozi za ngombe.
OPERESHENI:
1. STIKA YA NENDA KWA USALAMA: Hii ni biashara rasmi ambapo lengo kuu ni gari lipelekwe trafick section na kukaguliwa, likikidhi vigezo basi dereva alipie stika na liendelee na safari lakini imekuwa utaratibu stika kuuzwa kwa elfu 5 kama ukienda kituoni na kama ukiitaka barabarani inauzwa elfu 10.
Hakuna ukaguzi unaofanyika wa gari lolote na kichaka tu cha upigaji cha wau wachche sana ambao wanaishi kama wafalme.
2. LESENI/LENA. Ili kupata leseni yakupasa kupitia shule za udereva na kufanyiwa majaribio, lakini baada ya kufuzu pia kuna hatua za kupita, huko kila hatua niutoa hela zisizo na risiti wala control number.
3. DALADALA/TAX-UBER-BOLT Leo jumamosi wamejipanga kona zote za jiji, hakuna gari kupita bila kusimamishwa, pale magomeni kanisani wamekaba, oystebya mbuyuni wamebna, kwa azizi ali wamebana, wanasimamisha lila daladala, dereva ama utingo anashuka unamuona anenda nyuma ya gari ghafla anarudi mbio na gari inaondoka, utaskia konda akilalamika kwa dereva kwamba " nimebidi nimpe jala[elfu tano] maana jana hatukutoa: Baadae utaona anachukua kijitabu/diary na kuweka rekodi ya gari iliyotoa hiyo hela:
Kila mtu yupo kimya tunataka tufike ilipo NIGERIA KWA RUSHWA?
Hayo magari yameoza , magari yameoza.
Daladala ya Mwananyamala kwenda STESheni zimeoza kabisa na kunguni na hayafai hata kubebea mbolea lakininyapo katikati ya jiji na ukija nagari yako mpya kuomba TLB hupewi, ni hawa hawa wapendwa wetu ndio wanamiliki hizo daladala, well hawanyimwi kufanya biashra ila ni kinyume na maadili ya umma kutokana na kuwa na mgongano wa kimaslahi.
SAMIA alimtumbumbua mkurugenzi wa TTCL kwakuwa ana kampuni yenye tenda TTCL sasa ingependelewa, hili naomba SSH uingilie kati maana limesemwa sana.
4. KUVIZIA FINE BADALA YA KUELIMISHA. Trafiki badala ya kuzuia na kuelimisha wamegeuka watu wa maokoto. Haiwezekani say mtu umetoka mataa ya morroc unaendesha IST nyuma yako ipo gari kubwa na ipo spidi badala ya trafick kuzuia ajali yeye anasimamisha bila kujali aliye nyuma yako ako na spidi ya kiasi gani, ajali nyingi wanasababisha wao.
5. Ufanyike mzunguko wa ma-trafikc, mfano kuna mmoja ni mwanamama mweusi bonge anaka mnazi mmoja ana kauli mbaya sana, aamishiwe kwa wakurya huko akafunzwe adabu.
Mataa ya st peters kuna mweupe hivi kijana, naye anajiona ni IGP na achunguzwe.
Oh my goodness, SUKUMA GANG haipo tena!Jiwe alikwisha limaliza hili, alisema pesa ya kufuta vumbi hivyo haifai kulalamikiwa.
Kivuli chake kipo, mimi na yeye ni kitu kimoja, foolstop.Oh my goodness, SUKUMA GANG haipo tena!
MAJAMBAZI YALIYOAJIRIWAView attachment 2767115View attachment 2767115
Jeshi La Polisi idara ya TRafick inafanya kazi kwa weledi wa hali ya Juu.
Hawa Polisi ambao wale wa vyeo vya chini huvaa sare nyeupe za kupendeza na kuonyesha unadhifu wa hali ya juu nje ya mwilina ndani ya roho sijui lakini pia wale wa vyeo vya juu huvaa nguo za kaki za kupendeza wanyonge huku wakiwa na mikanda viunoni ya ngozi za ngombe.
OPERESHENI:
1. STIKA YA NENDA KWA USALAMA: Hii ni biashara rasmi ambapo lengo kuu ni gari lipelekwe trafick section na kukaguliwa, likikidhi vigezo basi dereva alipie stika na liendelee na safari lakini imekuwa utaratibu stika kuuzwa kwa elfu 5 kama ukienda kituoni na kama ukiitaka barabarani inauzwa elfu 10.
Hakuna ukaguzi unaofanyika wa gari lolote na kichaka tu cha upigaji cha wau wachche sana ambao wanaishi kama wafalme.
2. LESENI/LENA. Ili kupata leseni yakupasa kupitia shule za udereva na kufanyiwa majaribio, lakini baada ya kufuzu pia kuna hatua za kupita, huko kila hatua niutoa hela zisizo na risiti wala control number.
3. DALADALA/TAX-UBER-BOLT Leo jumamosi wamejipanga kona zote za jiji, hakuna gari kupita bila kusimamishwa, pale magomeni kanisani wamekaba, oystebya mbuyuni wamebna, kwa azizi ali wamebana, wanasimamisha lila daladala, dereva ama utingo anashuka unamuona anenda nyuma ya gari ghafla anarudi mbio na gari inaondoka, utaskia konda akilalamika kwa dereva kwamba " nimebidi nimpe jala[elfu tano] maana jana hatukutoa: Baadae utaona anachukua kijitabu/diary na kuweka rekodi ya gari iliyotoa hiyo hela:
Kila mtu yupo kimya tunataka tufike ilipo NIGERIA KWA RUSHWA?
Hayo magari yameoza , magari yameoza.
Daladala ya Mwananyamala kwenda STESheni zimeoza kabisa na kunguni na hayafai hata kubebea mbolea lakininyapo katikati ya jiji na ukija nagari yako mpya kuomba TLB hupewi, ni hawa hawa wapendwa wetu ndio wanamiliki hizo daladala, well hawanyimwi kufanya biashra ila ni kinyume na maadili ya umma kutokana na kuwa na mgongano wa kimaslahi.
SAMIA alimtumbumbua mkurugenzi wa TTCL kwakuwa ana kampuni yenye tenda TTCL sasa ingependelewa, hili naomba SSH uingilie kati maana limesemwa sana.
4. KUVIZIA FINE BADALA YA KUELIMISHA. Trafiki badala ya kuzuia na kuelimisha wamegeuka watu wa maokoto. Haiwezekani say mtu umetoka mataa ya morroc unaendesha IST nyuma yako ipo gari kubwa na ipo spidi badala ya trafick kuzuia ajali yeye anasimamisha bila kujali aliye nyuma yako ako na spidi ya kiasi gani, ajali nyingi wanasababisha wao.
5. Ufanyike mzunguko wa ma-trafikc, mfano kuna mmoja ni mwanamama mweusi bonge anaka mnazi mmoja ana kauli mbaya sana, aamishiwe kwa wakurya huko akafunzwe adabu.
Mataa ya st peters kuna mweupe hivi kijana, naye anajiona ni IGP na achunguzwe.
Polisi Traffick ana mshahara wa laki 9 kwa mwezi ambao haugusi hata siku moja, ana posho na sare ananunuliwa, kila daladala wacha gari binafsi lazma apate buku 2 kwa daldala na elfu kumi kwa gari ndogo na elfu 20 kwa scania za mizigo.Baadhi ya watu wanasemaga hawa jamaa wananjaa,wananjaa wanashika hela zote hizo?
Wanangarishwa na serikali, ila wanyonge wanataka kujua kama hizo hela ni halali ama laanatul?Ndio maana viatu vyao vinang'aa. Hizo pesa zote wananunua matanki ya rangi za viatu.
Takukuru ifutwe tuu haina faida. Traffic wanachukua mrungula had hadharani. Ama kuna wstu wanafaidi hii nchi
Stika , hoi habari iachwe tu, yaani siku CAG akifanya ukaguzi wa STIKA KWA MIAKA 5 NYUMA alooo, aibu itakuwa kubwa sana.Alisema mwaka jana fedha ya stika inanunua magari ya patrol ya polisi nchi nzima, mimi sijaona gari jipya zaidi ya yale matenga ya uchaguzi wa 2010
Zifanywe ze electronic tulipe kwa mobileStika , hoi habari iachwe tu, yaani siku CAG akifanya ukaguzi wa STIKA KWA MIAKA 5 NYUMA alooo, aibu itakuwa kubwa sana.
Never, wapigaji [Genge] hawakubali mfumo hata siku moja.Zifanywe ze electronic tulipe kwa mobile
View attachment 2767115View attachment 2767115
Jeshi La Polisi idara ya TRafick inafanya kazi kwa weledi wa hali ya Juu.
Hawa Polisi ambao wale wa vyeo vya chini huvaa sare nyeupe za kupendeza na kuonyesha unadhifu wa hali ya juu nje ya mwilina ndani ya roho sijui lakini pia wale wa vyeo vya juu huvaa nguo za kaki za kupendeza wanyonge huku wakiwa na mikanda viunoni ya ngozi za ngombe.
OPERESHENI:
1. STIKA YA NENDA KWA USALAMA: Hii ni biashara rasmi ambapo lengo kuu ni gari lipelekwe trafick section na kukaguliwa, likikidhi vigezo basi dereva alipie stika na liendelee na safari lakini imekuwa utaratibu stika kuuzwa kwa elfu 5 kama ukienda kituoni na kama ukiitaka barabarani inauzwa elfu 10.
Hakuna ukaguzi unaofanyika wa gari lolote na kichaka tu cha upigaji cha wau wachche sana ambao wanaishi kama wafalme.
2. LESENI/LENA. Ili kupata leseni yakupasa kupitia shule za udereva na kufanyiwa majaribio, lakini baada ya kufuzu pia kuna hatua za kupita, huko kila hatua niutoa hela zisizo na risiti wala control number.
3. DALADALA/TAX-UBER-BOLT Leo jumamosi wamejipanga kona zote za jiji, hakuna gari kupita bila kusimamishwa, pale magomeni kanisani wamekaba, oystebya mbuyuni wamebna, kwa azizi ali wamebana, wanasimamisha lila daladala, dereva ama utingo anashuka unamuona anenda nyuma ya gari ghafla anarudi mbio na gari inaondoka, utaskia konda akilalamika kwa dereva kwamba " nimebidi nimpe jala[elfu tano] maana jana hatukutoa: Baadae utaona anachukua kijitabu/diary na kuweka rekodi ya gari iliyotoa hiyo hela:
Kila mtu yupo kimya tunataka tufike ilipo NIGERIA KWA RUSHWA?
Hayo magari yameoza , magari yameoza.
Daladala ya Mwananyamala kwenda STESheni zimeoza kabisa na kunguni na hayafai hata kubebea mbolea lakininyapo katikati ya jiji na ukija nagari yako mpya kuomba TLB hupewi, ni hawa hawa wapendwa wetu ndio wanamiliki hizo daladala, well hawanyimwi kufanya biashra ila ni kinyume na maadili ya umma kutokana na kuwa na mgongano wa kimaslahi.
SAMIA alimtumbumbua mkurugenzi wa TTCL kwakuwa ana kampuni yenye tenda TTCL sasa ingependelewa, hili naomba SSH uingilie kati maana limesemwa sana.
4. KUVIZIA FINE BADALA YA KUELIMISHA. Trafiki badala ya kuzuia na kuelimisha wamegeuka watu wa maokoto. Haiwezekani say mtu umetoka mataa ya morroc unaendesha IST nyuma yako ipo gari kubwa na ipo spidi badala ya trafick kuzuia ajali yeye anasimamisha bila kujali aliye nyuma yako ako na spidi ya kiasi gani, ajali nyingi wanasababisha wao.
5. Ufanyike mzunguko wa ma-trafikc, mfano kuna mmoja ni mwanamama mweusi bonge anaka mnazi mmoja ana kauli mbaya sana, aamishiwe kwa wakurya huko akafunzwe adabu.
Mataa ya st peters kuna mweupe hivi kijana, naye anajiona ni IGP na achunguzwe.
Tatizo la JPM na yeye alikua na secret kundi la wapingaji wapya wasio wale wazamani, hi nchi ikipata mtu sahihi isio kua mnafiki na mzalendo wakweli mbona mapato yote yana nyooka tu, wote ni wezi kutoka juu kati kati mpaka ofisa wa chini.Never, wapigaji [Genge] hawakubali mfumo hata siku moja.
JPM alijaribu baadhi ya sehemu lakini we hujasikia kule Mbeya wakurugenzi wenyewe wanachepusha control number feki unalipa kumbe mtu anamalizia ghorofa lake Bahari beach na kukesha na totoz Wavuvi Kemp
SUKUMA GANG lilipewa tenda za barabara, ujenzi wa vivuko, barabara na maeneo ya wazi kujenga petrol station.Tatizo la JPM na yeye alikua na secret kundi la wapingaji wapya wasio wale wazamani, hi nchi ikipata mtu sahihi isio kua mnafiki na mzalendo wakweli mbona mapato yote yana nyooka tu, wote ni wezi kutoka juu kati kati mpaka ofisa wa chini.