Jeshi La Polisi idara ya TRafick inafanya kazi kwa weledi wa hali ya Juu

Alisema mwaka jana fedha ya stika inanunua magari ya patrol ya polisi nchi nzima, mimi sijaona gari jipya zaidi ya yale matenga ya uchaguzi wa 2010
Upo mkoa gani mkuu huku niliko kuna matenga mapya kama saba hivi
 
Jiwe alikwisha limaliza hili, alisema pesa ya kufuta vumbi hivyo haifai kulalamikiwa.
 
Ndio maana viatu vyao vinang'aa. Hizo pesa zote wananunua matanki ya rangi za viatu.
Takukuru ifutwe tuu haina faida. Traffic wanachukua mrungula had hadharani. Ama kuna wstu wanafaidi hii nchi
 
Yuko traffik mmoja mjinga Sana alikua huku Kibaha. Alisimamisha daladala, konda akateremka na kumkabidhi elfu kumi iliyokatika kipande nusu mzima. Trafik akaruhusu gari iondoke lakini kabla hajatia Ile hela mfukoni aliichunguza na kugundua Ni kipande tu. Mjinga yule badala ya kumezea, yeye alichukua boda na kuanza kuifukuza daladala, alipoikuta alimwita konda na kumuuliza kwa hamaki, HELA GANI HII UMENIPA? konda akamjibu kwani wewe trafik umeniuzia nini Hadi Mimi nikupe hela mbovu?
Ugomvi uliishia palepale.
Ikawa Sasa trafik anamvizia yule kinda.
Sikuhizi simuoni Tena mbwa yule barabarani. Nadhani Ile habari iliwafikia big boys wa Kibaha.
 
MAJAMBAZI YALIYOAJIRIWA

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Baadhi ya watu wanasemaga hawa jamaa wananjaa,wananjaa wanashika hela zote hizo?
 
Baadhi ya watu wanasemaga hawa jamaa wananjaa,wananjaa wanashika hela zote hizo?
Polisi Traffick ana mshahara wa laki 9 kwa mwezi ambao haugusi hata siku moja, ana posho na sare ananunuliwa, kila daladala wacha gari binafsi lazma apate buku 2 kwa daldala na elfu kumi kwa gari ndogo na elfu 20 kwa scania za mizigo.
 
Ndio maana viatu vyao vinang'aa. Hizo pesa zote wananunua matanki ya rangi za viatu.
Takukuru ifutwe tuu haina faida. Traffic wanachukua mrungula had hadharani. Ama kuna wstu wanafaidi hii nchi
Wanangarishwa na serikali, ila wanyonge wanataka kujua kama hizo hela ni halali ama laanatul?
Je, wakina mwamposa, mapadre, wachungaji wazikatae fedha za sadaka na malipo ya zaka toka kwa trafiki?
 
Alisema mwaka jana fedha ya stika inanunua magari ya patrol ya polisi nchi nzima, mimi sijaona gari jipya zaidi ya yale matenga ya uchaguzi wa 2010
Stika , hoi habari iachwe tu, yaani siku CAG akifanya ukaguzi wa STIKA KWA MIAKA 5 NYUMA alooo, aibu itakuwa kubwa sana.
 
Zifanywe ze electronic tulipe kwa mobile
Never, wapigaji [Genge] hawakubali mfumo hata siku moja.
JPM alijaribu baadhi ya sehemu lakini we hujasikia kule Mbeya wakurugenzi wenyewe wanachepusha control number feki unalipa kumbe mtu anamalizia ghorofa lake Bahari beach na kukesha na totoz Wavuvi Kemp
 
Ingekuwa amri yangu wangenyimwa kabisa mishahara. Jamaa rushwa sana
 
Tatizo la JPM na yeye alikua na secret kundi la wapingaji wapya wasio wale wazamani, hi nchi ikipata mtu sahihi isio kua mnafiki na mzalendo wakweli mbona mapato yote yana nyooka tu, wote ni wezi kutoka juu kati kati mpaka ofisa wa chini.
 
SUKUMA GANG lilipewa tenda za barabara, ujenzi wa vivuko, barabara na maeneo ya wazi kujenga petrol station.
Sasa tufanyeje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…