Jeshi la Polisi kuunda Tume kuchunguza ajali iliyoua vijana wanaosemekana kuuliwa na polisi kutokana na kesi ya uchimbaji mchanga

Jeshi la Polisi kuunda Tume kuchunguza ajali iliyoua vijana wanaosemekana kuuliwa na polisi kutokana na kesi ya uchimbaji mchanga

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Kutokana na ACT Wazalendo vijana hao wameuliwa kwa kupigwa risasi kutokana na kesi ya uchimbaji mchanga, huku taarifa inasema ni ajali! Lipi ni lipi?

Kupata tamko la ACT bofya hapa: Zanzibar: Vijana wawili wauawa na wengine 2 kuumizwa vibaya. ACT yataka Jeshi na Polisi kufanyiwa mabadiliko Kimuundo na Kiutendaji

====



DCP. Zuberi chembera naibu mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai amefahamisha kuwa katika tukio hilo dereva wa gari aitwae msina sharif (29) mkaazi wa kidoti na msaidizi wake aitwae abdalla bakari sheha (28) mkaazi wa kidoti walipoteza maisha na watu wengine wawili walijeruhiwa ambao ni mohammed issa mohammed (10) mwanafunzi wa skuli ya msingi kidoti na hamza abdalla abasi (10) mwanafunzi wa skuli ya msingi kidoti, majeruhi hao walikuwa watembea kwa miguu wamegongwa wakati gari hilo limepoteza muelekeo na kugonga mti/mkungu, wamelazwa hospitali ya kivunge kwa matibabu.
 
Polisi watende makosa, harafu polisi Hao Hao, waxhunguze wenzao! Agency tofauti inabidi iendeshe uchunguzi, military intelligence, takukuru,
 
Back
Top Bottom