GE2025 Jeshi la Polisi lajipanga kudhibiti vurugu siku ya Uchaguzi

GE2025 Jeshi la Polisi lajipanga kudhibiti vurugu siku ya Uchaguzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Jeshi la polisi Mkoa wa Kagera, limesema haliko tayari kuruhusu baadhi ya watu wasiopenda amani kuruvuga uchaguzi mkuu, na kuwaonya wenye nia hiyo kuacha mara moja, kwani watakamatwa na kuchukuliwa hatua kali za kisheria.

Pia Soma: GE2025 - Jeshi la Polisi limejipanga na viashiria vyovyote vya vurugu, "Tukiona moshi unafuka hatutasubiri moto uwake tutachukua hatua "


I think watu wataogopa vurugu na watalala ndani Tu,

No one ataandamana and no one ataenda kupiga Kura

I think uchaguzi wa this year utarudiwa Kwa kukosa watu
 
Yani kuandamana kwa amani imekuwa kuvuruga amani? Mbona wanapingana na katiba hawa watu. Ni vyema itangazwe rasmi Tanganyika haina katiba!
 
Hapo kwenye kujipanga kuna budget ndefu itapigwa ya magari na mabomu ya machozi + silaha za moto
 
Labda utafute matusi mapya ya kutukana mtandaoni hiyo tarehe 29 ila huwezi kutoa pua yako barabarani keyboard warrior
Hiyo ni kwaajili ya wanawake na wanaume marijali na sio machoko km wewe mlamba makalio okay lucha?
 
Ulivyo laini hivyo hata nguvu ya kufunga mlango unayo?? 😹
Ila Lamomy una vituko
FB_IMG_1758599472028.jpg
 
I think watu wataogopa vurugu na watalala ndani Tu,

No one ataandamana and no one ataenda kupiga Kura

I think uchaguzi wa this year utarudiwa Kwa kukosa watu
Hilo kwa CCM sio shida karatasi za kura zipo kalamu zipo watikiji wapo watatiki idadi wanayotaka
 
Jeshi la polisi Mkoa wa Kagera, limesema haliko tayari kuruhusu baadhi ya watu wasiopenda amani kuruvuga uchaguzi mkuu, na kuwaonya wenye nia hiyo kuacha mara moja, kwani watakamatwa na kuchukuliwa hatua kali za kisheria.

Pia Soma: GE2025 - Jeshi la Polisi limejipanga na viashiria vyovyote vya vurugu, "Tukiona moshi unafuka hatutasubiri moto uwake tutachukua hatua "
Police wanatakiwa kushauri utawala uliopo kuweka mambo sawa badala ya vitisho kwa wenye nchi , ili kuepuka yote haya , ogopa mtu aliekata tamaa hana cha kupoteza , jana sio leo au kesho , ziba ufa kabla ya kujenga ukuta.

Zipo nyakati zikifika hata kama upo na nguvu kiasi gani lazima busara kutumika
 
I think watu wataogopa vurugu na watalala ndani Tu,

No one ataandamana and no one ataenda kupiga Kura

I think uchaguzi wa this year utarudiwa Kwa kukosa watu
Ni afadhari watu watoke tu hata wawatie jamba jamba ccm na mapolisi wao hata kwa masaa kadhaa.

Wasopothubutu hata kidogo eti wanajifungia ndani, baada ya hapo serikali ya ccm itaongezeka kiburi mara dufu, na Samia atakuwa dhalimu sana mara mbili ya alivyo sasa... na kwaza kuna watu wengi sana watahukumiwa kunyongwa kwa makosa ya uhaini, maana kwa hapa Tanzania uhaini ni kukipinga chama tawala au kutofautiana na raisi.

Yaani ni bora tujaribu hata kama tutashindwa serikali itakuwa imepata fundisho kuliko kutojaribu kabisa... tutashuudia mauaji na udikteta zaidi ya huu sasa
 
Back
Top Bottom