Jeshi la Polisi lakiri Marehemu Ulomi alikuwa Koplo lakini aliacha kazi mwaka huu

Mtoa Taarifa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2024
Posts
213
Reaction score
671
1000103708.jpg

Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi Makao Makuu Dodoma, Elisante Ulomi amesema mdogo wake, Daisle Ulomi aliyefariki dunia kwa ajali ya pikipiki jijini hapa, alikuwa mtumishi wa Jeshi la Polisi kabla ya kuacha kazi hiyo mapema mwaka huu.

Kwa mujibu wa Jeshi la Polisi, Ulomi aliyekuwa anafanya biashara ya fedha ya mitandao ya simu alipata ajali Desemba 11, 2024 majira ya 7:55 mchana maeneo ya Gereji External na kabla ya familia yake kuja kuutambua mwili wake Desemba 16, 2024 katika mochwari ya Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala.

Zaidi Soma TANZIA - Mwili wa Ulomi, Mfanyabiashara aliyedaiwa kupotea wakutwa mochwari Mwananyamala

Akizungumza leo Desemba 19 katika ibada ya kuaga mwili huo Kanisa la KKKT, Usharika wa Madale Betheli Dar es Salaam, Kamishna Ulomi amesema kifo chake kimekuwa cha ghafla amefariki akiwa na miaka 43.
"Alikuwa mtumishi wa Jeshi la Polisi kuanzia Mwaka 2006 hadi mapema mwaka huu akiwa na cheo cha Koplo.

“Kifo chake kimetuumiza kwani bado kama familia tulikuwa tunamuhitaji, mke wake alikuwa anamuhitaji na watoto wake walikuwa wanamhitaji zaidi," amesema.

Amesema baada ya kuacha kazi alikuwa anaendelea na majukumu mengine ikiwemo shughuli za kibiashara.

"Kifo chake ni pigo kwetu, lakini kwa kuwa ni mapenzi ya mwenyezi Mungu tuache tutaonana baadaye mbinguni," amesema.

Soma Zaidi Daisle Ulomi aliwahi kuwa askari, jeshi la polisi linapaswa kuwa na majibu
 
Code uncoded...sasa kutusumbua wiki yote hii na hadi kusingizia ajali ya pikipiki kumbe mambo yao ya ndani huko wanajua walichofanya shwain
 
Nilisema hapa huyu jamaa mbona ana macho fulani hivi( mpaka uwe na d moja ) ndio utaweza kugundua hayo macho kuna kobazi mmoja akawa anajibu kama anapigwa viboko na ostadh madrasa
 
Mambo yao ya ndani yepi na wewe acha ujinga!

View attachment 3180329
Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi Makao Makuu Dodoma, Elisante Ulomi amesema mdogo wake, Daisle Ulomi aliyefariki dunia kwa ajali ya pikipiki jijini hapa, alikuwa mtumishi wa Jeshi la Polisi kabla ya kuacha kazi hiyo mapema mwaka huu.

Kwa mujibu wa Jeshi la Polisi, Ulomi aliyekuwa anafanya biashara ya fedha ya mitandao ya simu alipata ajali Desemba 11, 2024 majira ya 7:55 mchana maeneo ya Gereji External na kabla ya familia yake kuja kuutambua mwili wake Desemba 16, 2024 katika mochwari ya Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala.

Zaidi Soma TANZIA - Mwili wa Ulomi, Mfanyabiashara aliyedaiwa kupotea wakutwa mochwari Mwananyamala

Akizungumza leo Desemba 19 katika ibada ya kuaga mwili huo Kanisa la KKKT, Usharika wa Madale Betheli Dar es Salaam, Kamishna Ulomi amesema kifo chake kimekuwa cha ghafla amefariki akiwa na miaka 43.
"Alikuwa mtumishi wa Jeshi la Polisi kuanzia Mwaka 2006 hadi mapema mwaka huu akiwa na cheo cha Koplo.

“Kifo chake kimetuumiza kwani bado kama familia tulikuwa tunamuhitaji, mke wake alikuwa anamuhitaji na watoto wake walikuwa wanamhitaji zaidi," amesema.

Amesema baada ya kuacha kazi alikuwa anaendelea na majukumu mengine ikiwemo shughuli za kibiashara.

"Kifo chake ni pigo kwetu, lakini kwa kuwa ni mapenzi ya mwenyezi Mungu tuache tutaonana baadaye mbinguni," amesema.

Soma Zaidi Daisle Ulomi aliwahi kuwa askari, jeshi la polisi linapaswa kuwa na majibu
Taarifa ingetoka kwa usahihi namna hii, na haraka siku Ile Ile ya tukio 11/12/2024, shaka na sintofahamu zisingekuwepo.
 
Polisi wamemtengenezea ajari ili asitoe Siri zao za magenge Yao ya kuuwa watu chini ya mafwele ambaye alitaka kumuua sativa.
 
Nilisema hapa huyu jamaa mbona ana macho fulani hivi( mpaka uwe na d moja ) ndio utaweza kugundua hayo macho kuna kobazi mmoja akawa anajibu kama anapigwa viboko na ostadh madrasa
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
RIP Daisle,
Sasa kaka mtu alishindwa kumlinda mdogo wake, kuhusu mambo yao baada ya ku left?
Duuh
 
Ulitaka watoe taarifa kabla hawajaipata? Wa wapi wewe?
Hawajaipata vipi wakati umeambiwa polisi wenyewe ndiyo walimpeleka hospital, na polisi hao hao wamekiri alikuwa askari. Hivyo kwa kuwa wanajua alikuwa askari from day one wengefafanua.
 
Hiki kifo cha huyu jamaa kina mengi aaah haya bana kifo ni kifo, apumzike kwa amani afande Ulomi.
 
View attachment 3180329
Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi Makao Makuu Dodoma, Elisante Ulomi amesema mdogo wake, Daisle Ulomi aliyefariki dunia kwa ajali ya pikipiki jijini hapa, alikuwa mtumishi wa Jeshi la Polisi kabla ya kuacha kazi hiyo mapema mwaka huu.

Kwa mujibu wa Jeshi la Polisi, Ulomi aliyekuwa anafanya biashara ya fedha ya mitandao ya simu alipata ajali Desemba 11, 2024 majira ya 7:55 mchana maeneo ya Gereji External na kabla ya familia yake kuja kuutambua mwili wake Desemba 16, 2024 katika mochwari ya Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala.

Zaidi Soma TANZIA - Mwili wa Ulomi, Mfanyabiashara aliyedaiwa kupotea wakutwa mochwari Mwananyamala

Akizungumza leo Desemba 19 katika ibada ya kuaga mwili huo Kanisa la KKKT, Usharika wa Madale Betheli Dar es Salaam, Kamishna Ulomi amesema kifo chake kimekuwa cha ghafla amefariki akiwa na miaka 43.
"Alikuwa mtumishi wa Jeshi la Polisi kuanzia Mwaka 2006 hadi mapema mwaka huu akiwa na cheo cha Koplo.

“Kifo chake kimetuumiza kwani bado kama familia tulikuwa tunamuhitaji, mke wake alikuwa anamuhitaji na watoto wake walikuwa wanamhitaji zaidi," amesema.

Amesema baada ya kuacha kazi alikuwa anaendelea na majukumu mengine ikiwemo shughuli za kibiashara.

"Kifo chake ni pigo kwetu, lakini kwa kuwa ni mapenzi ya mwenyezi Mungu tuache tutaonana baadaye mbinguni," amesema.

Soma Zaidi Daisle Ulomi aliwahi kuwa askari, jeshi la polisi linapaswa kuwa na majibu
 
Attachments

  • 20241219_172147.jpg
    20241219_172147.jpg
    120.3 KB · Views: 8
Back
Top Bottom