PostGE2025 Jeshi la Polisi laondoa amri ya Lockdown kuanzia saa 12 jioni kwa wakazi wa Dar es Salaam

PostGE2025 Jeshi la Polisi laondoa amri ya Lockdown kuanzia saa 12 jioni kwa wakazi wa Dar es Salaam

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Jeshi la Polisi Tanzania limetoa Taarifa kwa Umma likisema kuwa, Kufuatia maelekezo yaliyotolewa jaan tarehe 3.11.2025 na Mhe. Rais na Amiri Jeshi Mkuu Samia Suluhu Hassan, Amri iliyokuwa imetolewa na Jeshi la Polisi kwa wakazi wa Jiji la Dar es salaam ya kuwa majumbani kuanzia saa 12 jioni imeondolewa rasmi.

Pia soma > Polisi: Saa 12 jioni kila mtu awe ndani

IMG_20251104_125943_060.jpg
 
Hawa tunakula nao na kunywa nao huku mtaani. Tutamalizana nao pona yao ni warudi kwenye nyakati za mkapa, mwinyi, nyerere wakae kambini tu
 
Back
Top Bottom