rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 18,360
- 26,244
Ndio hapo sasaIGP afukuzwe, hawezi kudharau maagizo ya wakubwa, kama Bar zimefunguliwa anataka nani akanywe mle?
Barakoa za kazi gani?
Kumbe hakuna tena kupiga kelele na kukusanyika beach?
😆😆😆Subiri ufafanuzi kutoka kwa johnthebaptist na bia yetu
Kaleidoscope run wiid, Mungu na Mtume.