Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
wao kwa wao na jamii kwa ujumla hii mbona iko kote ulimwenguni ni mambo ya kiusalama ndugu mulize hata jirani yako apo atakwambiaWao wanachadema wanalindwa dhidi ya nani?
Sina jirani wa kumuuliza mambo ya kimang'amung'amu... Huu ni mtizamo wa kijima sana unaoshabikiwa na CCM.wao kwa wao na jamii kwa ujumla hii mbona iko kote ulimwenguni ni mambo ya kiusalama ndugu mulize hata jirani yako apo atakwambia
Kuwa na adabu huwezi niita Mimi kijana wa Mbowe wewe kauzu…. Nipo hapa nimechagua upande wa kukosoa na nitamkosoa huyo mropokaji na nyie mashabiki zake…. Haya Leo Polisi wamezuia mkutano mmefanya nini? Si mlisema Mbowe mpole na Lissu atafanya siasa Za mshike mshike kiko wapi?? Very soon atakimbiza tumbo lake Ubelgiji ndipo mtakapo dhalilika maana mmeonesha utoto sana!Sisi hatukuwahi kumkosoa Mbowe alipokuwa mwenyekiti. Tulimkosoa kipindi cha uchaguzi kumuomba apishe damu nyingine maana nchi kwa sasa imejaa ubabe wa utawala. Sasa uchaguzi umeisha nyie vijana wa Mbowe mnaendekeza gubu!
Kuna shida mahali. Huenda mmepoteza sana! Ila ndo hivyo hamtaenda popote na gubu lenu.
Haya nendeni mkamshabikie Samia ili gubu lipone.
uliza ndugu uongokane na ujinga...hii kujificha haitakupa wanja mpana kifikraSina jirani wa kumuuliza mambo ya kimang'amung'amu... Huu ni mtizamo wa kijima sana unaoshabikiwa na CCM.
Hizi siku 2 mnaweza kuambiwa msiende chooni kuhatarisha kuchafua hali ya hewa ya dar 😂😂😂. Kazi mnayoKwani na yeye katibu mkutano na wandishi wa habari anafanyia humo humo kwenye ukumbi wa mkutano wa nishati ya gas?
Kimsingi hiki ndicho CCM walichokiwa wakikitaka; kukigawanya chama vipande viwili, wamefanikiwa sana.Aisee.
Hili andiko limejaa hasira.
Kapanua Sana domo...
Sasa Lissu alikuwa anasema Polisi wakizuia mkutano atalazimisha ufanyike?
Au Lissu alikuwa anazungumzia maridhiano yasiyojulikana tunaridhiana nini?
Unaweza kutuambia CHADEMA walitaka CCM waridhie nini na CCM nao walitaka CHADEMA nao pia waridhie nini ili nini kitokee!?
Hizi hasira dhidi ya ushindi wa Lissu na maombi yenu kutaka asifanikiwe kuiongoza CHADEMA chanzo chake ni nini au CHADEMA itafaidika vipi na hizi chuki zenu Kwa Lissu?
Hivi angeshinda Mbowe ungefurahi Mbowe asakamwe na waliokuwa wanamuunga mkono Lissu?
Ahsante sana police kwahao wahuni kwakuwadhibitiJeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limezuia mkutano wa waandishi wa habari wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Mnyika uliopangwa kufanyika leo Jumatatu 27/1/2025 saa tano asubuhi.
View attachment 3215420
Nje ya jengo la Makao Makuu hayo wapo askari wa jeshi la polisi kwa taarifa tulizonazo waandishi wa Jambo TV, Azam TV, Mwananchi wamezuiwa na kuondolewa eneo hilo.
View attachment 3215428
Aidha sababu zinazoelezwa juu ya kuzuiwa kwa mkutano huo inadaiwa ni uwepo wa Mkutano wa Kimataifa wa Nishati (M300). Huku ikielezwa kuwa mkutano huo wa CHADEMA ungeweza kusogezwa mbele na kufanyika kuanzia tarehe 29.
View attachment 3215422
View attachment 3215487
Pia, Soma: Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika kuongea na Waadishi wa Habari Makao Makuu ya Chama, Mikocheni
Hakuna mwenye hofu kijana ni vile utaratibu ufwate. Pili sina siasa za kijima unenikosea sana. Tatu mimi sio msukule na sitokujibu kwa matus kama ulivyofanyaBaki na haya maelezo yako uchwara mwenyewe na siasa zenu za ujima. Wacheni hofu za kitoto. Unafikiri watu wote wana akili mgando kama za nyie misukule ya CCM.
Sasa wewe nenda na bodaboda yako kesho mjini alafu waulize umevunja sheria gan ya nchi si katiba inaruhusu uhuru wa kutembea popote unapotaka bas fanya hivyo. Uanarakat mwingine ni ukichaaAmevunja sheria gani ya nchi?
Kwan jana huo mkutano ulikua umeanza? Mbona unajenga hoja kipuuz hivyo? Sifurahii lugha chafu na sio kwamba siziwezi bali sijafundishwa hivyo.Jana CCM yule zinjathropis na makala wa CCM walifanya mkutano wao mnazi mmoja mbona polisi hawakuenda kuuzuia?
Mawazo finyu na akili finyu kutoka kwako enewei ndo uhuru wa maon huu ngoja tukuache tuHawa polisi wangeenda Goma Congo, kukomboa Watanzania wenzetu waliokwama huko ingependeza zaidi
Mimi ni timu CHADEMA. Mbowe ana mambo yake makubwa na mazuri kwa chama chetu. Lakini kulazimisha kupambana na Lissu lilikuwa kosa lake la kisiasa alilofanya dhidi ya CHADEMA chama anachosema anakipenda.[QLppUOTE="Smart Dude, post: 52691364, member: 728282"]
Kimsingi hiki ndicho CCM walichokiwa wakikitaka; kukigawanya chama vipande viwili, wamefanikiwa sana
Lissu hana akili na lile tumbo lake kubwa Kama pakacha… kamtukana sana Mbowe na tutahakikisha anaaibika vibaya sana liwe funzo kwa wanaharakati wahuni na washenzi.Kimsingi hiki ndicho CCM walichokiwa wakikitaka; kukigawanya chama vipande viwili, wamefanikiwa sana.
Bahati mbaya hata comments nyingi twiter zimekuwa against CDM, nimeona hadi Hilda akiwakemea wanaCDM wanaoponda uamuzi wa kuitisha press leo.
Bahati mbaya zaidi kampeni zilikuwa ngumu mno, zinaonekana zimeacha majeraha makubwa kuliko tulivyodhani, na upande wa pili umeanza kejeli dhidi ya mwenyekiti mpya kuwa walisema yule mwingine alikuwa soft na nadhani kuna over expectations. Kuna umuhimu wa kushusha expectations nadhani ili kuondoa panic decisions.
Safari ya CDM inaonekana itakuwa ngumu labda mambo fulani fulani yabadilike, na bahati mbaya hata wafuasi mnapelekeana moto kama hivi; kwakweli CCM ananufaika sana na unaweza kusema anasukuma kete zake kwa tahadhari kubwa.
Mbona wewe uliniita akili ndogo nalo ni tusi hivyo nimekukabili kwa jinsi ulivyokuja. Wacheni siasa uchwara za kutumia polisi kukandamiza upinzani.Hakuna mwenye hofu kijana ni vile utaratibu ufwate. Pili sina siasa za kijima unenikosea sana. Tatu mimi sio msukule na sitokujibu kwa matus kama ulivyofanya
Hakuna namna ni lazima hili jambo na mtizamo huu ukemewe Kwa juhudi kubwa Sana.Mimi ni timu CHADEMA. Mbowe ana mambo yake makubwa na mazuri kwa chama chetu. Lakini kulazimisha kupambana na Lissu lilikuwa kosa lake la kisiasa alilofanya dhidi ya CHADEMA chama anachosema anakipenda.
Na lazima atoke aseme demokrasia imefanya kazi na wafuasi wake waheshimu maamuzi ya wengine. Lazima iwe hivyo.
[QLppUOTE="Smart Dude, post: 52691364, member: 728282"] bahati mbaya hata wafuasi mnapelekeana moto kama hivi;
Press ngap zimefanyika zikazuiliwa?Mbona wewe uliniita akili ndogo nalo ni tusi hivyo nimekukabili kwa jinsi ulivyokuja. Wacheni siasa uchwara za kutumia polisi kukandamiza upinzani.
chama gan kimewai fanya ivyoTuendane na teknolojia.
Haina haja ya kugombana, afanye Zoom Meeting na live streaming kila anayetaka kuuona mkutano aufuate huko.
unaish China?Press ngap zimefanyika zikazuiliwa?