Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Ulitaka achukue hatua saa ngapi? Ye si bingwa wa kutema cheche kwa lile domo pana Kama kinda la ndege hadi linatoa ute mweupe mdomboni? Ulitaka hatua ichukuliwe baada ya mda gani ili press iendelee?? Vipi hamuendi kukinukisha kwa maandamano? Tunataka hatua sasa nyie shwaini.Unapotaka kuhoji basi onyesha una akili na swali lako lina chembe ya akili siyo kama wanawake wanaosutana.
Tukio limetokea chini ya saa moja kwa polisi kuzuia mkutano wa Mnyika, nusu saa baadae kuna chizi anauliza Lissu kachukua hatua gani, huoni ni dalili za matatizo ya akili?