didy muhenga
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 861
- 1,476
Cubaunaish China?
mkutano umesimamisha kila kitu nchini , kwako hii ni sahihiKwa jinsi tech ilivyo, hakuna haja ya kukutana na hao waandishi. Zoom meeting nk si zipo, wafanye online meeting warushe online watu wapate habari, after all, ni press.
bas tuliza kalio weny nchi tuoneshe panapovujaCuba
Sawa mwenye nchi endelea kua keyboard warrior hivyohivyo utabadilisha vitubas tuliza kalio weny nchi tuoneshe panapovuja
kwan kuna maandamano yamewai tangazwa ghafla hivyo , cam mna kaujinga fulan hvUnadhani Chadema kama chama kikuu Cha upinzani kikitangaza Maandamano huo mkutano utaendelea?
Huitaji Akili kubwa kuelewa hili
km hujui tulia , unahis wote mabweg wenzioSawa mwenye nchi endelea kua keyboard warrior hivyohivyo utabadilisha vitu
ccmu ni wajinga wa karneHiyo utajua Wewe 🐼
Lissu ndo taahiraccmu ni wajinga wa karne
yaan mkutano mmoja umesitisha shughuli zote za Dar , hv ccmu akil zimo kwel , kila siku kituko kipya mara mkataba usio na kikomo cha muda , mara kuwalipa viongoz wa dini , timu za mpira na wasanii mamilion ila kujenga vyoo vya shule mpk misaada , KWASASA MTAJI WA CCMU NI WATU WAJINGAAtupie kwenye chadema media mbona Haina shida
sw endelea kutetea wez wa kodi yakoLissu ndo taahira
Kuliko wa kwako?.Lissu yupo atawakemea watanywea maana Ana mdomo mpana!!
kwamb tumesitisha shughuli zote kisa mkutano tu ?'hv upo timamu mkuu ? tumepoteza tsh ngal kisa huo mkutano ? hao viongoz wanaondoka unahis watafidia hasara tuliyonayo kwa siku hiz watakwepoUpumbavu wetu utakuwa wa viwango vya juu sana mangi!!
Lissu ni mwizi tusw endelea kutetea wez wa kodi yako
Mbona unanitukana wakat me sijakutusi?km hujui tulia , unahis wote mabweg wenzio
Ndio maana Philip Mpango aliwakataa hawa wahuni. Hakutaka kuwa sehemu ya huu upumbavu wa hawa mbwa wenye njaa ya madaraka .Kwani na yeye katibu mkutano na wandishi wa habari anafanyia humo humo kwenye ukumbi wa mkutano wa nishati ya gas?
Tuliza gubu kijana wa Mbowe. Kwahiyo Mbowe angeshinda leo mngelianzisha? Maana naye dakika za mwisho aliahidi mapambano. Halafu unajua kuwa reform ni azimio la kamati kuu ya Mbowe? Sisi Mbowe tunamheshimu shida ni nyie machawaz.Kuwa na adabu huwezi niita Mimi kijana wa Mbowe wewe kauzu…. Nipo hapa nimechagua upande wa kukosoa na nitamkosoa huyo mropokaji na nyie mashabiki zake…. Haya Leo Polisi wamezuia mkutano mmefanya nini? Si mlisema Mbowe mpole na Lissu atafanya siasa Za mshike mshike kiko wapi?? Very soon atakimbiza tumbo lake Ubelgiji ndipo mtakapo dhalilika maana mmeonesha utoto sana!
Angalia Sonona isije kukuua.Lissu yupo atawakemea watanywea maana Ana mdomo mpana!!
Itakuwa policcm na wenzao ccm wanahofia kuwa Mnyika atamwaga mchele hadharani halafu kesho wageni watasoma magazetiniJeshi la Polisi lazingira Ofisi ya Makao Makuu CHADEMA Mikocheni na kuzuia Mkutano wa Mnyika na Waandishi wa Habari
sasa huo ndio upuuzi, unaadvocate nchi isiyofuata utawala wa sheria? Niambie upuuzi huu nchi gani ya wastaarabu unafanyika?Sasa wewe nenda na bodaboda yako kesho mjini alafu waulize umevunja sheria gan ya nchi si katiba inaruhusu uhuru wa kutembea popote unapotaka bas fanya hivyo. Uanarakat mwingine ni ukichaa