Pre GE2025 Jeshi la Polisi lazingira Ofisi ya Makao Makuu CHADEMA Mikocheni na kuzuia Mkutano wa Mnyika na Waandishi wa Habari

Pre GE2025 Jeshi la Polisi lazingira Ofisi ya Makao Makuu CHADEMA Mikocheni na kuzuia Mkutano wa Mnyika na Waandishi wa Habari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa jinsi tech ilivyo, hakuna haja ya kukutana na hao waandishi. Zoom meeting nk si zipo, wafanye online meeting warushe online watu wapate habari, after all, ni press.
mkutano umesimamisha kila kitu nchini , kwako hii ni sahihi
 
Atupie kwenye chadema media mbona Haina shida
yaan mkutano mmoja umesitisha shughuli zote za Dar , hv ccmu akil zimo kwel , kila siku kituko kipya mara mkataba usio na kikomo cha muda , mara kuwalipa viongoz wa dini , timu za mpira na wasanii mamilion ila kujenga vyoo vya shule mpk misaada , KWASASA MTAJI WA CCMU NI WATU WAJINGA
 
Upumbavu wetu utakuwa wa viwango vya juu sana mangi!!
kwamb tumesitisha shughuli zote kisa mkutano tu ?'hv upo timamu mkuu ? tumepoteza tsh ngal kisa huo mkutano ? hao viongoz wanaondoka unahis watafidia hasara tuliyonayo kwa siku hiz watakwepo
 
Kuwa na adabu huwezi niita Mimi kijana wa Mbowe wewe kauzu…. Nipo hapa nimechagua upande wa kukosoa na nitamkosoa huyo mropokaji na nyie mashabiki zake…. Haya Leo Polisi wamezuia mkutano mmefanya nini? Si mlisema Mbowe mpole na Lissu atafanya siasa Za mshike mshike kiko wapi?? Very soon atakimbiza tumbo lake Ubelgiji ndipo mtakapo dhalilika maana mmeonesha utoto sana!
Tuliza gubu kijana wa Mbowe. Kwahiyo Mbowe angeshinda leo mngelianzisha? Maana naye dakika za mwisho aliahidi mapambano. Halafu unajua kuwa reform ni azimio la kamati kuu ya Mbowe? Sisi Mbowe tunamheshimu shida ni nyie machawaz.
 
Jeshi la Polisi lazingira Ofisi ya Makao Makuu CHADEMA Mikocheni na kuzuia Mkutano wa Mnyika na Waandishi wa Habari
Itakuwa policcm na wenzao ccm wanahofia kuwa Mnyika atamwaga mchele hadharani halafu kesho wageni watasoma magazetini
 
Sasa wewe nenda na bodaboda yako kesho mjini alafu waulize umevunja sheria gan ya nchi si katiba inaruhusu uhuru wa kutembea popote unapotaka bas fanya hivyo. Uanarakat mwingine ni ukichaa
sasa huo ndio upuuzi, unaadvocate nchi isiyofuata utawala wa sheria? Niambie upuuzi huu nchi gani ya wastaarabu unafanyika?

Makao makuu ya UN umeshasikia mambo haya yanafanyika? Au kuwa na bunduki na askari ni kigezo cha kuvunja sheria? Maana tumeona watu wakitekwa kuuawa na hakuna hatua yeyote
 
Back
Top Bottom